Swine Influenza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swine Influenza

Discussion in 'JF Doctor' started by Bazazi, May 4, 2009.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  SWINE INFLUENZA​

  Kwa wale wanakiamini kitabu cha Biblia, basi ndicho kilichonisukuma kuandika haya. Kitabu kinasema “Tena, ni lazima ya mtu siyo tu kupata maarifa kwa kusoma, bali pia akiishafunzwa, ni lazima awafunze wengine kwa maneno na maandishi (YbS).

  Nami ingaa sio tabibu (daktari wa binadamu wala mifugo) nimeona nitoe mchango wangu kuhusu huu ugonjwa wa mafua makali. Maandishi yangu msingi wake ni AVIAN INFLUENZA

  The disease is a VIRAL DISEASE

  Signs
  1. Respiratory signs
  2. Depression
  3. Reduced food and water intake.

  Aetiology:
  1. Orthomyxovirus type A influenza virus
  2. Have two important surface antigen i.e. Hemagglutinis and Neuraminidases
  3. There are 16 Hemagglutinis and 9 Neuraminidases that can occur in different combinations. The phenomena crafts over 144 possible combinations. Avian influenza strain combination is H5N1 (H five N one) while for swine influenza is H1N1 (H one N one)
  4. There is no cross-protection exists between subtypes.

  There are two types of pathotypes of influenza virus existing
  1. Low Pathogenic Influenza (LPAI)
  2. High Pathogenic Influenza (HPAI)

  Msomaji utashangaa ni kwa nini nimeandika kidogo sana ila lengo langu ni kutaka nawe angalou kidogo uufahamu huu ugunjwa na UKAE MKAO WA KULA KWANI BADO COMBINATIONS 142 HAZIJAANZA KUONYESHA MAMBO YAKE. Hizo aina zingine hatujui zitaitwaje labda CAMEL INFLUENZA.

  Sijui kama huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa dunia? Je watu wenye fani zenu (utabibu) hebu tuwekani sawa kuhusu mafua haya. Je na watu wa dini mnasemaje?
   
Loading...