Kweli wewe ni mbuzimzee sana. Are you serious mwanangu mbuzi?
Ha ha ha ha haa.. Ngojea wenyewe waone hii comment, juzi Mtu mmoja alikuwa anaongezea maneno ya Yule kichaa kule Arusha aliyesema, migomba rangi gani...kijaniiii, je miti rangi gani..kijanii.. (akaongeza) Maji ya choo rangi gani.. Watu .. Kijaniiiimbona hayo maji yanafanana na rangi ya c-c-m?
Kweli wanatuonea.Mbuzi mzeee Manzese kubwa hyooo manzese gani?mbona mnatuonea sana manzese?
Kweli wanatuonea.Mbuzi mzeee Manzese kubwa hyooo manzese gani?
Nakukubali sana watu8"ingawa tunatumia avators na usernames ambazo ni fake, lakini haibadilishi uhalisia wa mioyo yetu"