BAGAH hawezi kunitega hujui tumeshibana kama Maharage na Nazi?Shem siku hizi naona upendo umepungua.....nilitegemea ukija unitetee tena kumbe unaungana na Erickb52?. :confused3:
Hahahahaaaaa na ulivyonisave Mzoa Taka wakati mi ni Fundi Bomba MUNGU ANAKUONA
BAGAH hawezi kunitega hujui tumeshibana kama Maharage na Nazi?
Hapo imekula kwako labda mtafute Cantalisia akusaidie
Hahahaaaa atamwambia waambatane kwenda kwa huyo muuza mashada