I know....
I know.... but all these because of love....
Babe, I love you [emoji7].... so much....
Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee
Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta, swadakta mahaba matata......
View attachment 2101789
Me and you are perfect Combo...
Baby umeniroga JuuJuu nahemea JuuJuu
How I wish ...... let me say I love you and I need you.
Duniani mingi mitihani, jibu langu ni weewee....
View attachment 2101792
Am falling in love with you and Iโve made up my mind with you.
No matter the situation, you are my one and only man.
Mahabuba,
Najua utapita kusoma hapa, Asante kwa kunipa uso an tabasamu angavu.
Najikuta natabasamu muda wote...[emoji3526]
Acha tuu wadau wa hii hadhira waulize umenipa nini.... nimekuwa mlevi wa penzi lako... ongeza nilewe.
Mwambie mganga wako, kaniweza [emoji1430][emoji1430][emoji1430].
Siri naijua mwenyewe [emoji6][emoji8][emoji8][emoji8].
Kasinde.