Sweden Ni nchi ambayo inasifiwa sana Kama nchi gharama za maisha ziko chini sana ukilinganisha na nchi zingine zilizoendelea.
Wadau mnaoishi huko hata kujua ukweli kuhusu hili suala.
Du sawa mkuuNi kweli hali ya maisha siyo ghali kivile ukilinganisha nam nch zingine za Nordic.
Mpakani mwa Sweden karibu na Trondheim Norway watu wanavuka kuingia Sweden kufanya shopping ya nguvu na kurud Norway kwa sabab bidhaa Sweden ni nafuu kuliko Norway.
Kinachowasaidia Norway ni pesa yao.Ni kweli hali ya maisha siyo ghali kivile ukilinganisha nam nch zingine za Nordic.
Mpakani mwa Sweden karibu na Trondheim Norway watu wanavuka kuingia Sweden kufanya shopping ya nguvu na kurud Norway kwa sabab bidhaa Sweden ni nafuu kuliko Norway.