Acha unge.se[emoji41][emoji41][emoji41]Tutaanza rasmi kufunga siku ya kesho. Bishop katuharibia swaumu aseeView attachment 1091121
Si urudi kwenu TarimeSawa ila Zenji hawana uvumilivu, wanaona wivu wakati wa mfungo hadi kilazimisha Wakristo wajifiche wakati wa kula ili wao wasiwaone wakapata appetite.
Ikifika saa nane katafute chocho ndo habari ya mjiniSi urudi kwenu Tarime
Kama hujafunga ni wewe, kwasababu funga haikuhusuSawa ms...nge
Mkuu relax hizi changamoto tuAcha unge.se[emoji41][emoji41][emoji41]
Hawakosekani kama hao.Mkuu relax hizi changamoto tu
Hata kwetu wapo lengo lao ni kuharibu funga za watuHawakosekani kama hao.
Anataka kufanya wasio na muda pia waanze kusaka vitu vya kipuuzi kwa makusudi, lengo kuharibia watu. Nimemsoma.Hata kwetu wapo lengo lao ni kuharibu funga za watu