Teja moja liliambiwa ili ale futari aanze kufunga na yeye, ili asikose futari alianza kufunga siku inayofuata, ilipofika saa nane hali ikawa mbaya kwa kuwa hajazoea hivyo akaamua apige simu redioni kipind cha chaguo la msikilizaji, ikawa hivi
Mtangazaji - Karibu msikilizaji tukupigie wimbo gani?
Teja - (kwa sauti ya kiteja) ''nipigie wimbo wa adhana ya kufungua"
kwani kuna adhana ya kufungua
yea bro....... Adhana ya swala ya magharib ndio watu wanafungulia sema haina utofauti wowote na adhana ya sala zngne.....