SWARI LA WEEKEND

medsebapol

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
327
225
Nina swari la kiuchunguz apa asa nimegomea kwenye hewa.

HIVI MCHERE UKIWA UNAPIKWA MAJI UMEZA MCHERE AU MCHERE UMEZA MAJI
 
Lafudhi ya mtu inaelezea katokea wapi....ungekua umetenda kosa na mini ningekua polisi ingekua kazi rahisi sana kukukamata maana ningejua tu umetokea kanda ya ziwa au kwa mbaaaaali kule kusini mwa tanzania!!!
 
Kweli upepo wa pesa uko vizuri sana nitumie namba yako nikurushie vocha
 
Lafudhi ya mtu inaelezea katokea wapi....ungekua umetenda kosa na mini ningekua polisi ingekua kazi rahisi sana kukukamata maana ningejua tu umetokea kanda ya ziwa au kwa mbaaaaali kule kusini mwa tanzania!!!
Mkurya huyo. Mchere! Umeza badala ya humeza.
 
Back
Top Bottom