Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Kwanini Mungu hakuwaumba wanadamu wawe kama hawa ndege?
Natamani hata mimi ningekuwa hivyo lakini daah,mimi ni mwanadamu.
Umeonaeeeeee! Tamaa imetujaa tu! Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema aturehemu!