Swali

Swali

Mfalme Daudi

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
110
Reaction score
245
Umepanda daladala halafu hukupata siti ukasimama. Sasa hapo pembeni yako abiria mwenzio anachati na mpenzi wake. Sasa kwa umbea wako ukawa unakula chabo, ukakuta anaelekezwa ashuke kituo mlichopo na ukicheki ndo anapitishwa kituo utamwambia au hutamwambia ili usionekane kiherehere?
 
Heeee! babu eee mi namuacha apitilizwe tu maana unaweza ukamwambia alaf hali ya hewa ikachafuka ghafla
 
Umepanda daladala halafu hukupata siti ukasimama. Sasa hapo pembeni yako abiria mwenzio anachati na mpenzi wake.Sasa kwa umbea wako ukawa unakula chabo,ukakuta anaelekezwa ashuke kituo mlichopo na ukicheki ndo ana pitishwa kituo.
je utamwambia au utakula buyu ili usionekane mnoko???










Bado wiki mbili shule zifunguliwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom