Kama Umemkuta mume wako na Mama yako katika Mkao a kimahaba utafanya nini?
hapo ni kwenda kukaa kimahaba na baba ake mume wake hakuna hapo asijiulize kituKama Umemkuta mume wako na Mama yako katika Mkao a kimahaba utafanya nini?
hapo ni kwenda kukaa kimahaba na baba ake mume wake hakuna hapo asijiulize kitu
je? si nikuboresha undugu ama?mweee.....jino kwa jino sio eeeh
Maana yake ni kwamba wewe hujui kupika. Muombe mama yako akupe tuition.mama simama kwenye nafasi yako, ni lazima mumeo na mamako wajuwe mipaka yao, unavunja ukimya hapo, other wise mamako ataliwa na mkwewe!
kama umemkuta mume wako na mama yako katika mkao a kimahaba utafanya nini?
nakwenda kwa mganga wa kienyeji :confused2:
Kama Umemkuta mume wako na Mama yako katika Mkao a kimahaba utafanya nini?
hapo umeongea... ALAFU NAIPELEKE VIDEO GPLNachukua mchina wangu. Nawarekodi kwenye video.