Labda hilo boma asiwemo biggie!
wafanye tu na tena mbali coz we know they do. balaa dharau ikiletwa hapo tena story ingine, wengine sisi na mapanga ni dam dam
mamaa wa 'mabiti'....hahaaaa!! sasa utamfanyaje kwa mfano mamii......
wewe tukiwekwa boma moja tutaharibu ile mbaya......
Kaizer, X-pin na kina kaka wote mtajisikiaje mpenzi/wife akifanya hayo?
wafanye tu na tena mbali coz we know they do. balaa dharau ikiletwa hapo tena story ingine, wengine sisi na mapanga ni dam dam
Kuhusu magonjwa hiyo ishu nyingine, kwa wale wenye imani ni kuomba Mungu. Coz really, utafanyaje? uko ndani ya ndoa una wasiwasi siku zote, unahisi mwenzio anacheat, iwe kweli au si kweli, siku zote wewe una wasiwasi tu huna uhakika. Hayo si maisha mazuri ya kuishi hata kidogo, kama unadhani unaogopa sana ni bora mtu asioe au kuolewa, that way unaishi freely ukijua ugonjwa hutaupata au kuwa sister kabisa au padri (wa ukweli). Otherwise yote ni probability, only God knows.Very well said Carmel dada but may be I worry too much juu ya kuletewa magonjwa yasiyotibika kwa sababu nimewaona wengi wa karibu ambao waume/wake wamewaletea UKIMWI ndoani na sasa wanajuta. Kuna mmoja aliulizwa unahisi ni wapi mumeo alikoutoa akajibu kwa wanawake zake nafikiri kwa sababu alikuwa na tabia zisizoeleweka mie nikampuuza!!
Very well said Carmel dada but may be I worry too much juu ya kuletewa magonjwa yasiyotibika kwa sababu nimewaona wengi wa karibu ambao waume/wake wamewaletea UKIMWI ndoani na sasa wanajuta. Kuna mmoja aliulizwa unahisi ni wapi mumeo alikoutoa akajibu kwa wanawake zake nafikiri kwa sababu alikuwa na tabia zisizoeleweka mie nikampuuza!!
hahaaaaa!!! mpaka familia inakugwaya.....ananijua vzr dear tena vizuri sana, kuna wakati alikimbia zali, alivyoniona tu najitokeza mahali yeye ndio alitimuka, ilikuwa bahati yake, yaani unaharibu mpaka ukoo wake wanamkalisha chini wakimshawishi ackurudie, c alinichumbia mwenyewe bwana akiniona mrembo leo iweje?...jibu ni kuharibu tu.
wat is there that happens in your family and friends that u don wanna him poke his nose into for instance huh....??? (hizi ndio suspicions mnajenga kwa wenzi wenu wa ndoa)
hii sredi imekimbia kiasi hichi???!...
naomba msianzishe ingine basi niipitie pitie kuanzia mwanzo
Simu ya mke wangu ni mali yangu. You knoo woram seyying? Lakini ya kwangu ni mali yangu halali kabisa!
naona mtoa mada AMEAMUA KUKATA MZIZI WA FITINA!Duh ngoja nimcal nimwambie aachane nayo mambo ya simu kuzimwa maana anawezapata presha bure!! Mie naye kujifanya mnoooooko nakaba hadi kivuli ah
Babu X-pin mie siolewi ng'o kama mabo yenyewe ndo haya
Sisters Carmel na nyamayao jamani yaani maisha ya ndoa kwa kweli nashindwa kuyaelewa. Unajua itafika mahali tutachoka nasi tuwe tunaharibu tu. Bora nyamayaio mwenzetu we alishakuelewa ulivyo so ujinga jinga hawezithubutu.
Kaizer, X-pin na kina kaka wote mtajisikiaje mpenzi/wife akifanya hayo?
Geoff ndo picha niliyoipata hata mimi imenibidi niwe mpole tu na dunia yangu ya kufikirika!inaonekana kwamba wakina-mama wamekubaliana na dhana ya wanaume ya ''KUWA NA VIMADA''..(ni baada ya kupitia page mbili tu)..!INGAWA WAMESISITIZA IWE SIRI!ππ
muswada nitauhamishia nyumbani kwa mshiki nione anasemaje
naenda na page ya tatu sasa....
naona SKULI-METI umefanya finishing ''ya maana''!ππAchaneni na cm za waume zenu nyie akina dada.
Kama hamuamini, hebu PM nitakueleza ubaya wake. I have been there.
unajua chriss wewe una sheria fulani ngumu sana kama ni kweli upo serious ninayoyasomaga kwako...mie ungekuwa umeshanipa talaka zamanii....unavutia sana upande wako!