ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.
Mwone Invisible kuna kaprocess flani hivi kama huwapendi unawapotezea tu
siku hizi anaonekana huyo Mr/Ms. Robot?? tafadahli nipe ramani nifate ningependa kumwona.....
Poa ngoja nikutafutie kale kathread kenye maelezo ya kumpotezea mtu.
sina wa kumpotezea Fide mi namhitaji kila mtu humu in a way or another
we umesema nimwone Invisible n thats my interest.....sema wapi nikamwone sasa hivi
Haya gonga hapa shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiii https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/51854-ignore-list-on-jf.html
Hata Invisible yupo hapo unaweza uka-PM
aaaaaaaaaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr una nini wewe ulilala chawote kwani mbona hunielewi nataka nini aaaaaaaaaaaaaah!!!
leave me alone Fidel!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Si ugonge hapo juu utaona sread ya Invisible kisha gonga kwenye jina lake utamwona. Nenda kale naona unanjaa kali wewe.
Blandina Bikra naye kasepa??ndio mana nina sheria ya kuharibu...naharibu mazima!...mkaka sasa hivi yupo lonely haswaa, mdada ndio kashaingia barabarani kwa speed 180, na alivyo mrembo mr anakula kwa macho tu, c aaliyataka mwenyewe? mdada hataki kuckia kitu kinaitwa "kurudiana"...ngoja tumpe muda labda atachange mind.
Blandina Bikra naye kasepa??
Mkuu DC, nadhani hapo inategemea na mkuktadha.....kama ingekuwa private property ki hivyo, isingekuwa mtu anashtakiwa akijaribu kujiua....lakini kwa sheria zetu kujaribu kunywa sumu/kujinyonga ukaponyoka una kesi ya kujibu. why?
Sidhani pia kama kuna mtu anaongelea kubinafsisha simu ya mpenzi wake. Tunaongelea suala la kuwa na uhuru usio na mipaka katika hiyo simu na mambo mengine anayomiliki mwenzio kama ilivyo kwa mwili wake!jingine ni kuwa kuchangia huko kwa mwili katika muktadha wa wapenzi/wanandoa ni wakati ule wa conjugal action, otherwise baada ya hapo kila mtu si anabaki na kidude chake😀 of course the abstract meaning ni kwamba wote mmekuwa mwili mmoja, lakini hata katika maana hiyo tunamaanisha mwili mmoja kiroho zaidi na sio the phyisical body kwa maoni yangu.
Hata mimi niko huko huko kwenye dunia unayoiongelea. Ila kwa hulka ya binadamu, unapomzuia kugusa kitu unampatia hamasa ya kupata jibu kwa nini unamzuia. Kama una watoto unaweza kufanya hiyo simple experiment. Kumwambia mwenzio asiguse simu, wallet, brief case, safe cabinet etc ni kumtangazia kuwa una mambo very personal ambayo hutaki ayajue. Kama hutafafanua ni mambo gani, basi unampatia ruhusa ya kutumia akili yake kuyajua. Ndio maana nasisitiza suala la kuusikiliza moyo wako. Ukikwambia mahali fulani kuna kengele ya hatari basi jaribu kuusikiliza kwani usipokuta hiyo hatari ni poa. Ila mara nyingi moyo haudanganyi kwani hauna sababu ya kufanya hivyo.Kwenye hoja ya Masaki hapo juu, nadhani yeye yupo kwenye huu ulimwengu phyisical,,na niongezee labda passport pia haichangiwi ila pia vyote hivyo inategemea na jinsi mlivyojizoeza tangu mwanzoni..napata ugumu kuapply a rule of thumb hapa as kila case ina namna yake na ni tofauti on its own right.
kwani hawa watu...bht c ataseviwa mzee j, caty ataseviwa kaka shy, so kuzuia mtafaruku hapo ni bora tu nijihami kama ni kweli mzee j au ni bht mie nijilkalie kama coni wa cckii, lakini nicmbambe, umenikumbusha ya honey, jana shem kamcal mr anamuomba amcndikize kwa wazee akaombe radhi.....
Utashangaa simu inapigwa saa 2 usiku halafu jina linalotokea, CRDB Azikiwe. Unajiuliza kama benki huwa iko wazi mpaka muda huo!
Ah aksante basi mwenzio niko bado kwenye sisy wetu wa jana!my dear huyu mkaka ni yule mume wa shoga yake nyamayao, alikuta sms kwenye simu ya hubby kutoka kwa 'honey', mke kuuliza akapata kipigo paka mimba ikatoka.....upo hapo??
Hapo unaongelea sheria za nchi. Je sheria/kanuni za mahusiano zinasemaje pale ambapo mtu akijaribu kutafute independence wakati yuko kwenye ndoa? Katika hili tunaloongelea, bado naamini mwili wa mtu ni personal ila tunakubaliana kushea ili tukamilishe hitaji la mapenzi yetu!
Sidhani pia kama kuna mtu anaongelea kubinafsisha simu ya mpenzi wake. Tunaongelea suala la kuwa na uhuru usio na mipaka katika hiyo simu na mambo mengine anayomiliki mwenzio kama ilivyo kwa mwili wake!
Hata mimi niko huko huko kwenye dunia unayoiongelea. Ila kwa hulka ya binadamu, unapomzuia kugusa kitu unampatia hamasa ya kupata jibu kwa nini unamzuia. Kama una watoto unaweza kufanya hiyo simple experiment. Kumwambia mwenzio asiguse simu, wallet, brief case, safe cabinet etc ni kumtangazia kuwa una mambo very personal ambayo hutaki ayajue. Kama hutafafanua ni mambo gani, basi unampatia ruhusa ya kutumia akili yake kuyajua. Ndio maana nasisitiza suala la kuusikiliza moyo wako. Ukikwambia mahali fulani kuna kengele ya hatari basi jaribu kuusikiliza kwani usipokuta hiyo hatari ni poa. Ila mara nyingi moyo haudanganyi kwani hauna sababu ya kufanya hivyo
Hahahaahahahaha Masaki wajua mwenzio naumwa leo? Sitakiwi kucheka sana ... Eti CRDB Azikiwe mi ctaki akuUtashangaa simu inapigwa saa 2 usiku halafu jina linalotokea, CRDB Azikiwe. Unajiuliza kama benki huwa iko wazi mpaka muda huo!
Hahahaahahahaha Masaki wajua mwenzio naumwa leo? Sitakiwi kucheka sana ... Eti CRDB Azikiwe mi ctaki aku
Hahahaahahahaha Masaki wajua mwenzio naumwa leo? Sitakiwi kucheka sana ... Eti CRDB Azikiwe mi ctaki aku
Utashangaa simu inapigwa saa 2 usiku halafu jina linalotokea, CRDB Azikiwe. Unajiuliza kama benki huwa iko wazi mpaka muda huo!
Aksante Kaizer ...ila nimeshikika!! najikaza kisabuni tu hapa, kibarua kisiote nyasiPolee eeh😛