Simu ni kama cheti cha kuzaliwa, hakichangiwi;
Simu ni kama kadi ya kupigia kura, haichangiwi;
Simu ni kama kitambulisho cha uraia, hakichangiwi;
Simu ni kama alama za dole gumba, hazifanani na za mtu yeyote hata awe pacha wako!!.....!!!!
Mvulie DC kofia, babu yako nivalie.
Mheshimu DC, babu yako unipende.
Mi na wewe ni kitu kimoja. Nipigieeeeeeeee!
Mwili wa mtu ni personal property, tena zawadi kutoka kwa Mungu, unachangiwa! Vipi hapo? Kipi ni muhimu kati ya hayo?
Bora umemnusuru maana angetuletea threads hapa hadi tuchoke!!Dah hapa mkuu tupo pamoja.
Mi nimewahi mpiga chini mchumba hivi hivi kwa kupekua pekua simu yangu tuna week tu akaanza kuleta za kuleta kwenye simu yangu eti ooh nahaki kuimiliki nikamwambia chako chako changu changu hutaki tembea.
Dah hapa mkuu tupo pamoja.
Mi nimewahi mpiga chini mchumba hivi hivi kwa kupekua pekua simu yangu tuna week tu akaanza kuleta za kuleta kwenye simu yangu eti ooh nahaki kuimiliki nikamwambia chako chako changu changu hutaki tembea.
Tunakubaliana kabisa Kaizer but why za wake zenu mwazifanya zenu?Mkuu DC, nadhani hapo inategemea na mkuktadha.....kama ingekuwa private property ki hivyo, isingekuwa mtu anashtakiwa akijaribu kujiua....lakini kwa sheria zetu kujaribu kunywa sumu/kujinyonga ukaponyoka una kesi ya kujibu. why?
jingine ni kuwa kuchangia huko kwa mwili katika muktadha wa wapenzi/wanandoa ni wakati ule wa conjugal action, otherwise baada ya hapo kila mtu si anabaki na kidude chake😀 of course the abstract meaning ni kwamba wote mmekuwa mwili mmoja, lakini hata katika maana hiyo tunamaanisha mwili mmoja kiroho zaidi na sio the phyisical body kwa maoni yangu.
Kwenye hoja ya Masaki hapo juu, nadhani yeye yupo kwenye huu ulimwengu phyisical,,na niongezee labda passport pia haichangiwi ila pia vyote hivyo inategemea na jinsi mlivyojizoeza tangu mwanzoni..napata ugumu kuapply a rule of thumb hapa as kila case ina namna yake na ni tofauti on its own right.
Tunakubaliana kabisa Kaizer but why za wake zenu mwazifanya zenu?
Bora umemnusuru maana angetuletea threads hapa hadi tuchoke!!
hahaaaaaaaaa just like that???
uchumba gani huo....punguza speed Fidel
haa! mi ya my wife wangu hata kuitumia sijui!
Mbio za sakafuni huishia ukingoni.
Vp shem hajambo lakini?
haa! mi ya my wife wangu hata kuitumia sijui!
Afu wewe huko kumjali shemeji yako mbona too much sasa!!! yaani hunijulii hali mimi kila siku hajambo shemeji
ni nini lakini Fide???
Lazima nimjali kidume cha mbegu kama mm si anakudumishia mila vizuri lakini.
nanai kasema anadumisha mila nawe???
Mwenye dada hakosi shemeji na mwenye kaka hakosi wifi.
Bht hivi unalijua hilo?
Hapo utake usitake lazima mila idumishwe vinginevyo mpige chini jiendee usista.
Mwenye dada hakosi shemeji na mwenye kaka hakosi wifi.
Bht hivi unalijua hilo?
Hapo utake usitake lazima mila idumishwe vinginevyo mpige chini jiendee usista.
Ndio hapo sasas ! Huwa nashangaa kukuta kaka ana wivu balaa kwa dada yake! 🙂
justified!mie jamani nipo njia panda nachoka kabisa na haya mambo, ni jana tu licmu la mr linaita hapo, alikuwa katoka kidogo, ckuipokea, amerudi huko ameaanza ooh aahh kwanini ckupokea nikamwambia amcal kwenye cm nyingine aliyetoka nayo?...jina lenyewe "mzee j" mie nipo huyo ndio kadadaa hapo nipoke nianze headache saa hizi...nilitulia kama siickii vile, nadhani tu mtu umwachie cm yake afanye atakayo, lakini za mwizi 40...