Swali

Eeeeh, bora liwalo na liwe ila simu yangu nazima, Nikitaka kuwasiliana na mmoja nawasha kisha nikimaliza nazima!

Yaani hapa inakuwa siyo starehe tena bali karaha! Washa tu muda wote, ila ndio hivyo tena kila mtu na simu yake! Hilo la kupekenyuliana simu wala silifagilii kabisa!
 
Understod dada! ni kweli inabidi ukae macho always usisinzie kabisa ukiona kona zinaanza jaribu uwezavyo na kwa upole kujua tatizo na kulitafutia ufumbuzi before its too late.
 
Eeeeh, bora liwalo na liwe ila simu yangu nazima, Nikitaka kuwasiliana na mmoja nawasha kisha nikimaliza nazima!

mmoja nani sasa na wewe Pape (akili yangu imechoshwa sana na hii thread leo)
 
Yaani hapa inakuwa siyo starehe tena bali karaha! Washa tu muda wote, ila ndio hivyo tena kila mtu na simu yake! Hilo la kupekenyuliana simu wala silifagilii kabisa!

kwani ikipekenyuliwa ina nini??
 
Mkuu DC, hapa sasa tuo ukurasa mmoja

Hoja yangu imekuwa suala la yeye kuconclude kwa ana cheat just kwa vile anazima simu ( I am trying not to be subjective here) na kusema kweli nimekwepa kisingizio cha kwamba inaisha chaji (ijapokuwa inaweza pia kuwa kweli)

kwamba hizi zinaweza kuwa dalili za kwamba anacheat ni sawa, lakini I am playing the devil's advocate position (bht inahusu) hapa kuonyesha kuwa wasi wasi wake wote huo upo comletely uncalled for.

Na given the fact kwamba hizi simu zinaleta mitafaruku sana hata pale isipokuwa lazima, ndio maana nimekuwa cautios kwamba asiende tu kuanza kumhukumu maana huwa inakwenda mbali zaidi kama akiambiwa na mtu kuwa 'mumeo kwa hili anacheat': Mfano
-kama alikuwa anamwekea maji ya kuoga ya moto yataanza ya baridi
-kama alikuwa anatabasamu wakati wote ataanza kununa na kuwa na kiburi/kisirani
-kama alikuwa anamyoshea nguo etc atakuwa anamwambia HG
-kama ilikuwa akimletea zawadi etc anaonyesha appreciation, this time atakuwa tu anakutolea macho

Pamoja na mengine mengi-mlolongo ni mrefu sana, ambao kwa dalili hizi mwanaume hata kama alikuwa hana mawazo hayo ya nyumba ndogo ataitafuta haraka sana ili kupata comfort na kujaribu kukwepa maudhi ya nyumbani.

Sasa kipi bora, kinga au kutibu? kama mmeshakubaliana kuingia kwenye ndoa, ishu ya ukimwi and the like inakwepekaje na kwa nini mwanaume anaonekana kuwa ndiye 'atamletea' wakati the other way round is possible? Ki wapi kile kiapo cha magonjwa na raha au watu walikuwa wanaapa wakifikiria kama bia zitatosha ukumbini?
 
Yaani hapa inakuwa siyo starehe tena bali karaha! Washa tu muda wote, ila ndio hivyo tena kila mtu na simu yake! Hilo la kupekenyuliana simu wala silifagilii kabisa!
unapokuwa na mmoja unamnyima mwingine mawasiliano ili uwe makini na uliye nae kwa wakati huo!
 
du! inauma lakini ndo ukweli, katika shida na raha, ugonjwa na afya mmmmh, mi simo bana, hivi viapo hivi? nani aliyeviandika lakini, hivi kwenye bible vimo? i mean haya maneno.sorry off topic.
 
kwenye red nimeshitushwa...sijui tumeanza lini hii mambo na ni bei gani kaku-retain??

wa ukweli yote usemayo yanawezekana ila hapa nadhani kwa kiwango kikubwa tumejaribu kuona nini chwawezekana ...being give the situation
haipaswi kuhukumu moja kwa moja ila kumbuka hapa there are so mant things involve pamoja na emotions na experience za watu wanaojadili

all in all every case is different and it shouls be treated differently I believe so.....
 
Simu ya mama ni ya mama na simu za baba ni za baba kwa nn wewe mama unakuwa unachungulia chungulia simu za baba? Utakufa kwa kihoro shauri yako ukiona sms hii nashukuru sana jana tulijiexpress vizuri sana mpaka nanihii naikanda alafu wewe hutoi utajisikiaje?
 
Yaani hapa inakuwa siyo starehe tena bali karaha! Washa tu muda wote, ila ndio hivyo tena kila mtu na simu yake! Hilo la kupekenyuliana simu wala silifagilii kabisa!

unapokuwa na mmoja unamnyima mwingine mawasiliano ili uwe makini na uliye nae kwa wakati huo!

hahaaa hapo ndo mnaponishangazaga tena, naona kama mnajipa tabu wenyewe pia???
 
Mpenzi Mbu nimekuwa nikikutarajia tangu asubuhi mpenzi haya imekuwaje leo?

Tafadhali naomba upitie post za Darck City kwanza then utaona concern yangu darling
(Kaizer habari?)

Unanchokoza afu....na sichezi na wewe!🙄
 
du! inauma lakini ndo ukweli, katika shida na raha, ugonjwa na afya mmmmh, mi simo bana, hivi viapo hivi? nani aliyeviandika lakini, hivi kwenye bible vimo? i mean haya maneno.sorry off topic.

my dear...wala usikonde. Ukitumia busara ya kawaida tu kuwa 'mtu atamwacha baba na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" unaweza kuona kuwa kuwa mwili mmoja ina maana pana sana ...including, kama ni mwili mmoja, kushare magonjwa na raha zipatikanazo ndani ya mkataba till death do you apart,,,
 
hahaha, B wa ukweli hapo ni malipo kila saaa dola mia tatu (isomeke kila post) LOooooool

B mi nikijaribu kuweka mbali emations eti! na kutumia uzoefu zaidi,,,si ndio kuwa objective B! miss u though
 
hahaha, B wa ukweli hapo ni malipo kila saaa dola mia tatu (isomeke kila post) LOooooool

B mi nikijaribu kuweka mbali emations eti! na kutumia uzoefu zaidi,,,si ndio kuwa objective B! miss u though

nimekusoma bila tatizo B!
mis too i was wondering.................................mmh!!!
 
kwani ikipekenyuliwa ina nini??

Haina kitu ndio maana wala haihitaji wala haitakiwi kupekenyuliwa! Kupekenyua simu ya mwenzi wakati yeye ni mwaminifu kwako ni kumkwaza!
 
MJ1
Nampongeza huyo shemeji yako anajua namna ya kutunza ndoa, pia namlani huyo mdogo wako anayetaka kumchunguza kuku anavyokula ili akiona asile tena. Shemeji yako ana mapenzi ya dhati kwa mdogowe, angekuwa ahajali angeiachia simu sms na calls zikawazinaingia kwa fujo kutoka kwa mademu zake sasa amezima yeye anataka kumchokonoa. Nakupongeza kwa thread hii is very practical, mimi na wife tuna utaratibu wetu na umetusaidia hakuna kupekua pekua simu ya mtu wala hutukuambiana tumejikuta tuko hivo na tunaamani mioyoni mwetu
 
Haina kitu ndio maana wala haihitaji wala haitakiwi kupekenyuliwa! Kupekenyua simu ya mwenzi wakati yeye ni mwaminifu kwako ni kumkwaza!

sasa akipekenyua na asikute anachotaka si basi ...........
wakati mwingine hata si kwa nia mbaya mtu anataka kuangalia simu ya mwenzi wake, lakini once unapoanza na kuificha na kuizima wakati haikuwa tabia yako hapo sasa unavuta wasiwasi....
kama unajua huna chochote ambacho kitaleta mtafaruku then why hide or switch it off??
 
Ahahahahaha...here we go again! What's new? Kila siku nawaambia msioe wala kuolewa hamtaki kunisikia. Yaani siku hizi hapa siku haiishi bila ya mtu kubandika mada ya 'cheating'....poleni zenu.
 
Ahahahahaha...here we go again! What's new? Kila siku nawaambia msioe wala kuolewa hamtaki kunisikia. Yaani siku hizi hapa siku haiishi bila ya mtu kubandika mada ya 'cheating'....poleni zenu.

humu humu tu shemeji.....BTW hw r u?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…