Swali

hahaaaaa huu sasa msaha wewe!!!???

Sio mzaha, simu ya mkononi ni personal private property binamu! Ndio maana kila laini moja ya simu imesajiliwa kwa jina la mtu mmoja! Kwa hiyo mwenye nayo ana uhuru wa kuruhusu au kutokuruhusu ipekuliwe!

Kama unabisha jaribu kwenda kwenye kampuni ya simu kuomba print out ya namba zote zinazowasiliana na namba ya mumeo, uone kama hawajakwambia uende na barua toka polisi! 🙂
 
when it comes to MY WIFE!...i am very serious bana,lol!how can i hurt her my wife?
 
DC nimekuelewa ndugu yangu ni kweli inauma sana na ndio maana nikamwambia sisy ayafumbue macho yake tena ayafumbue haswa kwani ni dalili hizo. Mie nilishapita huko sitaki tena mwingine aumie kihivyo.
 
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???

Tukifanya utafiti wa haraka haraka hapa, utagundua wanawake ndio walio na kihere here zaidi cha kutaka kufukunyua simu za wanaume kuliko ilivyo kwa wanaume kutaka kuchokonoa simu za wanawake zao!
 
eeh bwana eeeh mimi nikihisi ananichezea 'rafu' hayo yote ni irrelevant.....ntailia timing niichoknoe nipate picha halisi....afu nimtolee uvivu vizuri
 
Kumbe hii mnaifahamu!! Iweje sasa cm zetu ziwe zenu na zenu ziwe zenu???

Acha kusumbuka na vitu vidogo hivyo. Simu siyo suala la muhimu kwenye cheating business ingawa ni moja ya vitendea kazi. Wapo watu wanacheat na simu zao hazina kikwazo. Shida ni kujaribu kuleta visingizio vya kitoto wakati suala liko wazi kama inavyosemekana kwenye post ya kwanza. Huyo baba ni mpuuzi na ni mwanafunzi katika hayo mambo. Vinginevyo angekuwa anajua jinsi ya kuzuia magari yake yasigongane kwa kuyaendesha kwa zamu. Huwezi kuanza kuendesha gari moja wakati jingine liko kwenye mtelemko na hukufunga hand break. Ni gharika tu. Huyo jamaa aende shule akajifunze jinsi ya kufanya ufuska nje ya ndoa na siyo kulete visingizio vya kitoto kama hivyo.
 
Hayo yote mi nakubaliana nayo. ila ukweli sidhani kama unaweza kufunga virago na kuondoka kwako kwa kumhisi mumeo ana cheat au kwa kukuta message kwenye simu. Kweli sipendi na sikubaliani mwanaume kucheat, hilo wanawake wote tunakubaliana nalo, na ni kweli wanaume wakiamua kuacha hii tabia mbaya inawezekana. (i am glad my man doesnt do this so far, so i believe its possible). lakini je unaweza kuwa na uhakika huu kwa muda gani? is it guaranteed for a lifetime? na je utamzuiaje mtu mzima? vp usipojua chochote? na kama ukianza kuhisi (pengine ukweli, na pengine uongo) unafanyaje, unaanzisha vurumai, unafunga virago na kuvunja ndoa, unaanza kuinsist condom au inakuwaje? i am confused here.
 
hakuna sayansi kwenye mahusiano? vipi jamaa anatuambie eti ndio wanaume wameumbwa hivyo? sawa mie nimesoma hivyo vitabu ... lakini hao prophets didnt cheat... did they? I dont mind if he wanna have another woman in his life but i have all rights to know and its my final decision if I wanna continue to live with him or not... so i wouldnt sit here and pretend that its ok for him to screw another woman... because it is not and its completely disgusting.
 
Tukifanya utafiti wa haraka haraka hapa, utagundua wanawake ndio walio na kihere here zaidi cha kutaka kufukunyua simu za wanaume kuliko ilivyo kwa wanaume kutaka kuchokonoa simu za wanawake zao!

utafiti huo huo wa haraka utatuonesha wanaume ndio wanaotumia vibaya(cheating) hizo simu kuliko wanawake hence wanaogopa wakilianzisha na wao hawako tayari simu zao zipekuliwe wakijua kuna vimeo..............
 
From the bottom of my heart i admire you. You are so wise.
 
DC nimekuelewa ndugu yangu ni kweli inauma sana na ndio maana nikamwambia sisy ayafumbue macho yake tena ayafumbue haswa kwani ni dalili hizo. Mie nilishapita huko sitaki tena mwingine aumie kihivyo.

Hapo ndio penyewe. Akijua jinsi ya kucheza karata zake basi hatajuta. Akinyamaza tu na kujidai anamwachia Mungu atakuwa anafuga panya kwenye debe la unga. Mpe moyo tu, huo mtihani atawini akiamua kutafuta proper treatment badala ya kumeza panadol na kulala wakati ana ugonjwa mwingine.
 
DC kwa hiyo fani hii inawataalamu kiasi kwamba mke hawezi hata kuota anaibiwa....
 
eeh bwana eeeh mimi nikihisi ananichezea 'rafu' hayo yote ni irrelevant.....ntailia timing niichoknoe nipate picha halisi....afu nimtolee uvivu vizuri

yani wewe uminichekecha sana haaaaaaaaaaaa haa rofl😎😀
 
UNDERSTOOD!
mimi nilipingana na hitaji lako la scientific findings,as far as science is concerned!lakini unayoyaongea mengine sawa tu!
 
Do you mean cheating is not acceptable because hurts the feelings of your partner. Should you do it, do it in such a professional way that, your partner will not be suspicious (!?).
 
Sweetness please hakuna mtu alosema afunge virago aondoke, issue hapa ni je unapoona dalili ambazo unahisi haziridhishi, ufuatilie ili ujue ukweli au la? Mdogo wangu ameliona hilo na limemsuumbua akaamua aulize jibu alilopewa ni kuwa simu zina matatizo ya charge ndo maana anazima usiku-ajabu ni kuw aanapokuwa huko mkoani hayo matatizo hayapo??? mbona hazimi hizo simu?

Mimi nimemwambia si dalili nzuri afuatilie ndo wadau wengine wakanijia juu dada!
 
Tukifanya utafiti wa haraka haraka hapa, utagundua wanawake ndio walio na kihere here zaidi cha kutaka kufukunyua simu za wanaume kuliko ilivyo kwa wanaume kutaka kuchokonoa simu za wanawake zao!
kwa sababu tu wanaume hawasemi ukweli hapa, au pia kwa sababu wengi wana mambo wanayoficha ndo maana wote wanaunga mkono simu zao zisipekuliwe lakini wadada wengi wako tayari waume zao washike simu zao muda wowote, that tells you the rest. So far i remembet only DC amabaye amekubali simu yake na ya mkewe ni ya wote kama walivyo mwili mmoja katika kristo Yesu.
 
Aksante!
 
Do you mean cheating is not acceptable because hurts the feelings of your partner. Should you do it, do it in such a professional way that, your partner will not be suspicious (!?).

miyo ya wanaume wengine ni migumu kama miamba.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…