Swali

Penny

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
575
48
Hello wana JF,

Ni upendo gani na heshima ipi wanaume hupenda kupokea kutoka kwa wapenzi wao.

Aksanteni.
 
hata mimi kidogo nimuulize,ila nammiss sana MAMA sijui kapotelea wapi
Nilikuwa machimboni ndo nimerudi sasa...niliwamiss pia mimi sana tena sana. Vipi wakina Kelly, BAk, my beiberry, Masa, Mbuu, NN, YOyo n.k wapo jamani! Kha naona jukwaa limepanuka kweli kweli maana nyuso ngeni nyingi sasa. Karibuni wageni wote.
 
Wanaume wanapenda kudekezwa,kubembelezwa kama watoto na hawapendikukosolewa pindi wanapokosea
 
Unajua watu hawajui, kukaa sehemu moja kila wakati huchosha sana na watu huanza kukuzoea mpaka kwenye c***i, ndo maana tulipotea kidogo.
 
Nilikuwa machimboni ndo nimerudi sasa...niliwamiss pia mimi sana tena sana. Vipi wakina Kelly, BAk, my beiberry, Masa, Mbuu, NN, YOyo n.k wapo jamani! Kha naona jukwaa limepanuka kweli kweli maana nyuso ngeni nyingi sasa. Karibuni wageni wote.

wapo wamejaa tele..karibu mamii
 
Wanaume wanapenda kudekezwa,kubembelezwa kama watoto na hawapendikukosolewa pindi wanapokosea
Kama wao ni binadamu kama mimi, sioni kuso hapo nikiwakosoa! kwa hio ni nife na kijaba moyoni tuu. Haiwezekani kwa kweli. Napia nadhani sio mapenzi tena bali ni utumwa. au sio.
 
Nipende kama nilivyo tu!

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=shaX6kpDczI"]http://www.youtube.com/watch?v=shaX6kpDczI[/ame]
 
Nilikuwa machimboni ndo nimerudi sasa...niliwamiss pia mimi sana tena sana. Vipi wakina Kelly, BAk, my beiberry, Masa, Mbuu, NN, YOyo n.k wapo jamani! Kha naona jukwaa limepanuka kweli kweli maana nyuso ngeni nyingi sasa. Karibuni wageni wote.

Ni furaha tu kukuona. BAK yupo kajaa tele kama pishi ya mchele ha ha ha ha ha. Vipi machimboni umerudi na bling bling za kutosha? Ulikuwa Buzwagi, Mwadui, kule kwenye Tanzanite au kule sehemu mpya kunakopatikana uranium? Haya karibu tena jukwaani. :)
 
upendo unaotakiwa ni mwanamke kutekeleza haki za kimsingi za mwanaume,na mwanaume kutekeleza haki za msingi za mwanamke,huo ndo upendo unaostahili kwa jinsia zote
 
Hello wana JF,

Ni upendo gani na heshima ipi wanaume hupenda kupokea kutoka kwa wapenzi wao.

Aksanteni.

Penny sidhani kama kuna aina maalum ya upendo au heshima...nijuavyo, upendo/mapenzi/mahaba hayana vipimo hasa kama yanatoka moyoni

heshima pia hivyo hivyo

au labda aulikuwa unamaanisha nini hasa? maana hii likizo yako hii....:rolleyes:
 
Hello wana JF,

Ni upendo gani na heshima ipi wanaume hupenda kupokea kutoka kwa wapenzi wao.

Aksanteni.

Imma give it to you raw sister, most men, even subconsciously -mostly African men at that- want a submissive woman.

Personally I like that urbanite-swagger exterior and it's quick study sophistication that is home discussing current affairs or in the kitchen and still manages to hide a warm home-grown-values interior that can explode into spontaneity without a moment's notice. A carefully calibrated meeting place between modernity and tradition so to speak.

That's gotta be hard to find so feel for a brother, you dig?
 
Hello wana JF,

Ni upendo gani na heshima ipi wanaume hupenda kupokea kutoka kwa wapenzi wao.

Aksanteni.

Penny, mambo niaje? tupo tunaendeleza libeneke.

...hakuna formula ya kula na kipofu zaidi ya kutomgusa mkono, Muonyeshe hakuna kuliko yeye, tena mkweze kwa kila kitu hata kwa yale yasiyo na kichwa wala miguu,

...ila taratibu tuu, wengine tuna sixth sense...
 
Kama wao ni binadamu kama mimi, sioni kuso hapo nikiwakosoa! kwa hio ni nife na kijaba moyoni tuu. Haiwezekani kwa kweli. Napia nadhani sio mapenzi tena bali ni utumwa. au sio.

Huo ndo upendo ambao wanaume wanataka. So kama Mr wako kasema haridhiki na upendo wako, then hicho kijaba moyoni mwako kitoe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom