Swali

Blackman

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
858
Reaction score
343
Jamani hivi rada ni kitu gani tokea mwaka jana nasikia tu ununuzi wa rada ununuzi wa rada nisaidieni
 
Ni begi wanalolitumia mafisadi kuweka pesa zao,kama sikosei.
 
me nasikia inafanana na miguu ya kuku....sina hakika lakini
 
Ni kama chemchei hv inapatikana maji ya kilimanjaro
 
r for radio
a for ambayo
d for daima
a for anayo membe
 
Acheni bwana hivi ni vidonge wanatumiaga mafisadi wakipata sukari kubwa
 
sukari gani ndugu yangu ugonjwa au?
 
Mkuu watuaibisha mwana hata hii hujui? Ok, hii ni mashine ya kunyanyulia matiti ya kina dada zetu yaliyosinzia. Hope utakuwa umeelewa.
 
Ni limtambo flani ambalo limesababisha watanzania wengi wawahi kuota mvi kabla ya wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…