Swali

Gadafi kauwawa, hajafa. Kuuwawa, ni kifo kinachotokana na vita, au mtu kumuuwa mwenzie au ajali. Kufa source yake ni mazingira ya kawaida kama ugonjwa.
Ila unaweza kuwaona wazee wa TUKI kwa ushauri zaidi.
 
Kafa baada ya kuuawa, na pamoja ya kwamba nimeamua kutoziangalia zile video dalili zote zinaonyesha kuwa ile ilikuwa ni War crime maana alikuwa amushasalimu amri na anawaomba wasimuue, na kissu cha anus wakampiga juu yake. Ila hilo litasukumwa pembeni lisije likaharibu sherehe.
 
Sherehe tena au Msiba?
 
vyote naona vina maana yake...tendo na matokeo ya tendo lenyewe..tenda na tendwa...hebu wataalamu wa kiswahili watatujuza zaidi
 
@Twenty 2.......mtu akiuliwa ufa!
so uwezi kufa kabla ujauliwa aidha na mtu,maradhi,au chochote kile bora tu kimekuua.
 
Back
Top Bottom