Swali: Watoto njiti wa miezi 8.

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,113
4,741
Kwenu madaktari na wenye ufahamu. Kuna imani kuwa mtoto wa miezi nane akizaliwa anakufa, na huku wa miezi saba anasurvive. Nini kinapelekea hiki.?

Mtoto wa miezi nane afe, na mtoto wa miezi saba aweze kuishi.?
 
Haaha ayo ni maneno ya watu tu, ila kitaalamu zaidi ni kwamba mtoto wa miezi 8 ameshakua mkubwa zaidi (matured) uki compare na uyo wa miezi 7 hivyo basi, wa miezi 8 ana chance kubwa ya kuishi kuliko wa miezi 7.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haaha ayo ni maneno ya watu tu, ila kitaalamu zaidi ni kwamba mtoto wa miezi 8 ameshakua mkubwa zaidi (matured) uki compare na uyo wa miezi 7 hivyo basi, wa miezi 8 ana chance kubwa ya kuishi kuliko wa miezi 7.
Hapana, mwenye miezi 7 ana survive na mwenye nane anakufa kwa sababu kwenye mwezi wa saba amna mabadiliko makubwa ukifananisha na mwezi wa 8 ambapo mwili wa kichaga upitia,
Anapozaliwa akiwa na miezi saba wakati wa mabadiliko hayo yani mwezi wa 8 mwili unakuwa umeshazoea mazingira,
Ila anapozaliwa akiwa na miezi nane inakuwa vigumu kuishi kwasababu mwili wakati ukipitia mabadiliko na wakati huo ukijaribu Ku adapt mazingira mapya Unashindwa Ku withstand vyote kwa pamoja ndio maana mara nyingi inakuwa ni vigumu kuishi,

NB; Ni mabadiliko gani nitayaelezea kesho saa hiz nimechoka wakuu nahitaji kupumzika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeshawahi kusikia hili, lakini kama ambavyo ameandika Mkuu hapo chini naamini halina ukweli wowote kwa sababu anayezaliwa na miezi minane amebakiza mwezi tu kufikisha miezi tisa kulinganisha na yule wa mizi saba ambaye bado ana miezi miwili. Hivyo huyo wa miezi minane ana nafasi kubwa ya kuishi kama yuko healthy ukilinganisha na huyo wa miezi saba.

Kwenu madaktari na wenye ufahamu. Kuna imani kuwa mtoto wa miezi nane akizaliwa anakufa, na huku wa miezi saba anasurvive. Nini kinapelekea hiki.?

Mtoto wa miezi nane afe, na mtoto wa miezi saba aweze kuishi.?
Haaha ayo ni maneno ya watu tu, ila kitaalamu zaidi ni kwamba mtoto wa miezi 8 ameshakua mkubwa zaidi (matured) uki compare na uyo wa miezi 7 hivyo basi, wa miezi 8 ana chance kubwa ya kuishi kuliko wa miezi 7.
 
marisa1920
Posted 09/21/2014
I have heard this before too. I dismissed after my 28 weeker was born and is a typical two year old. The person that told me says that it had something to do with last minute respiratory development. Maybe this is an old outdated belief considering the steroid shots they now give you if you go into ptl.

Kwenu madaktari na wenye ufahamu. Kuna imani kuwa mtoto wa miezi nane akizaliwa anakufa, na huku wa miezi saba anasurvive. Nini kinapelekea hiki.?

Mtoto wa miezi nane afe, na mtoto wa miezi saba aweze kuishi.?
 
Hapana, mwenye miezi 7 ana survive na mwenye nane anakufa kwa sababu kwenye mwezi wa saba amna mabadiliko makubwa ukifananisha na mwezi wa 8 ambapo mwili wa kichaga upitia,
Anapozaliwa akiwa na miezi saba wakati wa mabadiliko hayo yani mwezi wa 8 mwili unakuwa umeshazoea mazingira,
Ila anapozaliwa akiwa na miezi nane inakuwa vigumu kuishi kwasababu mwili wakati ukipitia mabadiliko na wakati huo ukijaribu Ku adapt mazingira mapya Unashindwa Ku withstand vyote kwa pamoja ndio maana mara nyingi inakuwa ni vigumu kuishi,

NB; Ni mabadiliko gani nitayaelezea kesho saa hiz nimechoka wakuu nahitaji kupumzika

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaha sawa uje kuelezea hayo mabadiliko yanayomfanya wa miezi 8 asiwe na chance kubwa ya kuishi uki compare na wa miezi 7.

Ni ivi kuna kitu kinaitwa Lung surfactant, ndo husaidia hawa newborn lungs zisije zika collapse, sasa mtoto anavyozid kukaka tumboni zinakua well developed hivyo basi atakua na chance kubwa ya ku survive, na jinsi atakavyowahi kuzaliwa ndio risky kubwa kwake ya zile lungs ku collapse. sasa mie nasubir jibu lako la hayo mabadiliko ni kivipi uyo wa miezi 7 awe na chance kubwa kumzidi wa miezi nane.
 
Back
Top Bottom