Swali: Wataalamu wa I.T/ Mfumo NEC

Swali: Wataalamu wa I.T/ Mfumo NEC

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,093
Swali binafsi,

Hakuna uwezekano wa computer kuchezewa hasa wakati wa upokeaji matokeo kutoka sehemu mbalimbali,ukawa unayapokea na kujumlisha +750.

Nina mashaka nalo!
 
swali binafsi,
hakuna uwezekano wa computer kuchezewa hasa wakati wa upokeaji matokeo kutoka sehemu mbalimbali,
ukawa unayapokea na kujumlisha +750.
Nina mashaka nalo!

Kura zinapigwa Manual, zinahesabiwa, Manual, matokeo yanabandikwa kituoni kwako....mfumo ulikuwa wa kuandikisaha daftari tu
 
Nadhan hauko updated na taarifa za tume kuwa majumuisho yatafikishwa tume kwa njia ya mtandao,as an IT expert nasema kuna uwezekano(tena mkubwa) wa kutemper na hyo software na ikaleta matokeo tofaut,ni muhim kufanya system/software auditing kabla otherwise the so called goli ka mkono linawezekana na ni rahis zaid kuiba kwa mfumo huu kuliko manual system za awali.
 
haina haja ya kuumiza kichwa... UKAWA wanalijua hilo tayarii...na wameshajipanga..nyie pigeni tu kuraaa achen visingizio
 
Iko possible sana kuchange data... itategemea na ethical ya administrator... na hata mkikagua leo kesho naweza cheza na database bila hata kuja kazini.. kwa skills nizijuazo.. cha kuomba hapo ni kuhakiki kwa karatasi na system pia..
 
Sio visingizio,na mkuu usiamini kila kitu ukawa watang'amua pengne kwa wakat,mfano jana kuna mtu alihoji kitu muhim sijajua km pia kiko sorted out so far,Lubuva alisema kuutakua na jumla a vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapga kura 450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini huoni dakili za goli la mkono hapo???
 
sio visingizio,na mkuu usiamini kila kitu ukawa watang'amua pengne kwa wakat,mfano jana kuna mtu alihoji kitu muhim sijajua km pia kiko sorted out so far,lubuva alisema kuutakua na jumla a vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapga kura 450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini huoni dakili za goli la mkono hapo???
hahahahah usiwaze mbali hivo..wee amini kwenye ushindi mwaka wenu huu
 
Sio visingizio,na mkuu usiamini kila kitu ukawa watang'amua pengne kwa wakat,mfano jana kuna mtu alihoji kitu muhim sijajua km pia kiko sorted out so far,Lubuva alisema kuutakua na jumla a vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapga kura 450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini huoni dakili za goli la mkono hapo???

upo sahihi mkuu, nikuongeza umakini sana..
 
haina haja ya kuumiza kichwa... UKAWA wanalijua hilo tayarii...na wameshajipanga..nyie pigeni tu kuraaa achen visingizio

bora uwaambie maana kuna mijitu humu imejaa na wasiwasi inafikia mpaka baadhi humu hawajiamin kama wameumbwa wanaume kweli wanadhan wana waswas kuwa huenda hawako kamili kama wanaume wenzao
 
Sio visingizio,na mkuu usiamini kila kitu ukawa watang'amua pengne kwa wakat,mfano jana kuna mtu alihoji kitu muhim sijajua km pia kiko sorted out so far,Lubuva alisema kuutakua na jumla a vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapga kura 450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini huoni dakili za goli la mkono hapo???

alisema hakuna kituo ambacho wapiga kura watazidi 450
 
Huyo administrator anajua vizuri kitakachompata endapo atajaribu kumanipulate results. Kwa hiyo No, kama ni mtu mwenye akili hatothubutu kufanya huo ujinga. The thing about lies is the truth always come out.
 
Nadhan hauko updated na taarifa za tume kuwa majumuisho yatafikishwa tume kwa njia ya mtandao,as an IT expert nasema kuna uwezekano(tena mkubwa) wa kutemper na hyo software na ikaleta matokeo tofaut,ni muhim kufanya system/software auditing kabla otherwise the so called goli ka mkono linawezekana na ni rahis zaid kuiba kwa mfumo huu kuliko manual system za awali.

Tofauti na kilichobandikwa Ubaoni kwenye Vituo? si mtarudi kuverify kuwa mmeshindwa vibaya sana?
 
Kutemper na system ni rahisi sana especially tunapoambiwa admin. alibadilishwa juzi juzi hapa. Mimi nashauri watakapo kuwa wanaingiza matokeo wawepo mawakala wa vyama IT experts wahakiki. Kuna uwezekano wa kuweka namba fulani kila kituo au kuweka minus kwa Ukawa ili ukipanch inn zipungue kwa idadi hiyo. In any case tume ikubali kuwepo na wakala kwa sababu shida itatokea pale hard copy zinaonyesha tofauti na soft copy results. Matokeo ya karatasi lazima yalingane na na ya kompyuta eti.
 
Huyo administrator anajua vizuri kitakachompata endapo atajaribu kumanipulate results. Kwa hiyo No, kama ni mtu mwenye akili hatothubutu kufanya huo ujinga. The thing about lies is the truth always come out.

Mkuu, natofautiana na wewe kidogo hapo kwenye kekundu japo sihofii hilo. Ninachojua mimi ni kuwa halitakuwa ni suala la utashi wa Administrator binafsi. Kama kutakuwa na haja ya kuchakachua matokeo, lazima agizo hilo litokee mahali pa juu sana, liamriwe na wazito na kisha lisimamiwe na watendaji wazito pia. Baada ya hapo ndio Tume itangaze. Kamwe, haliwezi kuwa jambo la mtu mmoja na kamwe haliwezi kutokea kwa utashi wa mtu mmoja. Hapo lazima kuwe na kitu watu wa sheria wanakiita JOINT CRIMINAL ENTERPRISE ama JCE.
 
Nadhan hauko updated na taarifa za tume kuwa majumuisho yatafikishwa tume kwa njia ya mtandao,as an IT expert nasema kuna uwezekano(tena mkubwa) wa kutemper na hyo software na ikaleta matokeo tofaut,ni muhim kufanya system/software auditing kabla otherwise the so called goli ka mkono linawezekana na ni rahis zaid kuiba kwa mfumo huu kuliko manual system za awali.

UKAWA kuna tatizo la wasomi wasiojua walichosoma.
Hebu fikiria kura zimepigwa kinondoni.Ambako kuna vituo vya kupigia kura 6 kwa mfano.Kila kituo kina mawakala wa vyama vyote.Kila wakala anajua kuwa kila kituo kina kura kadhaa.Wanakubaliana wanasaini wanapeleka nakala zao kwenye vyama vyao kwa viongozi wao walioko kule kwenye kituo cha kujumlishia.Kura zile zinapelekwa kwa email au chochote.Huko njiani kwenye email zinabadilika kama zilikuwa 100 kituo fulani zinabadilika zinakuwa 1000!!

HIYO COMPUTA ULIYOSOMA WEWE UNAIJUA MWENYEWE.E-mail yako ulishaifanyia system auditing kujua kuwa ukimpelekea mtu meseji itabadilika? Au tigo pesa,mPESA system ulishaifanyia system auditing kuwa isije badilisha pesa njiani?

Najua CHADEMA wanachotaka ni kujua mfumo ukoje wauvuruge kuharibu uchaguzi kama kenya walivyouingilia kuuvuruga

Kura hata mwehu aweza hakiki.Kuwa kituo kile kilipiga kadhaa kinondoni yote jumla kura ni kadhaa ziwepo komputa au zisiwepo.Usomi usiutumie kutunga uongo kudanganya wasiosoma sio lengo la elimu hilo.
 
Mkuu, natofautiana na wewe kidogo hapo kwenye kekundu japo sihofii hilo. Ninachojua mimi ni kuwa halitakuwa ni suala la utashi wa Administrator binafsi. Kama kutakuwa na haja ya kuchakachua matokeo, lazima agizo hilo litokee mahali pa juu sana, liamriwe na wazito na kisha lisimamiwe na watendaji wazito pia. Baada ya hapo ndio Tume itangaze. Kamwe, haliwezi kuwa jambo la mtu mmoja na kamwe haliwezi kutokea kwa utashi wa mtu mmoja. Hapo lazima kuwe na kitu watu wa sheria wanakiita JOINT CRIMINAL ENTERPRISE ama JCE.

Sijasema ni la mtu mmoja, sema kumbuka kama inahusisha online transactions basi lazima atapewa mtu moja kuhandle hilo swala.. A smart person can't give that work to ten different people wote wachakachue, inaongeza probability ya leak.
 
UKAWA kuna tatizo la wasomi wasiojua walichosoma.
Hebu fikiria kura zimepigwa kinondoni.Ambako kuna vituo vya kupigia kura 6 kwa mfano.Kila kituo kina mawakala wa vyama vyote.Kila wakala anajua kuwa kila kituo kina kura kadhaa.Wanakubaliana wanasaini wanapeleka nakala zao kwenye vyama vyao kwa viongozi wao walioko kule kwenye kituo cha kujumlishia.Kura zile zinapelekwa kwa email au chochote.Huko njiani kwenye email zinabadilika kama zilikuwa 100 kituo fulani zinabadilika zinakuwa 1000!!

HIYO COMPUTA ULIYOSOMA WEWE UNAIJUA MWENYEWE.E-mail yako ulishaifanyia system auditing kujua kuwa ukimpelekea mtu meseji itabadilika? Au tigo pesa,mPESA system ulishaifanyia system auditing kuwa isije badilisha pesa njiani?

Najua CHADEMA wanachotaka ni kujua mfumo ukoje wauvuruge kuharibu uchaguzi kama kenya walivyouingilia kuuvuruga

Kura hata mwehu aweza hakiki.Kuwa kituo kile kilipiga kadhaa kinondoni yote jumla kura ni kadhaa ziwepo komputa au zisiwepo.Usomi usiutumie kutunga uongo kudanganya wasiosoma sio lengo la elimu hilo.
Nilitaka nikusaidie kukuelewesha hii mifumo ya teknolojia ya computer za NEC na hofu ya wizi unavyokuja lakini nakuacha hivyohivyo maana unaonekana in mbishi wa asili wewe
 
Iko possible sana kuchange data... itategemea na ethical ya administrator... na hata mkikagua leo kesho naweza cheza na database bila hata kuja kazini.. kwa skills nizijuazo.. cha kuomba hapo ni kuhakiki kwa karatasi na system pia..

System yeyote bora inayokidhi vigezo ni ile yenye audit trail na log files. Tatizo nnaloliona hapa hakuna uwazi jinsi gani IT inahusika kwenye huu uchaguzi na itagusa maeneo gani.

Tatizo langu kubwa lipo hapo kwenye kuhakiki wapiga kura kwa BVR, hizo mashine watazitoa wapi za kutosha kila kituo kama wakati wa uandikishaji tu ilikua hazitoshi? na kama wamenunua mpya, zimejaribiwa lini na wapi kuhakikisha kwamba zitafanya kazi vizuri siku ya uchaguzi?

Mwisho kabisa, kama system itatumika kujumlisha matokeo, ni system gani na mawakala wanaelewa jinsi ambavyo data za vituo husika zitakavyokua zinaingizwa ili kutumwa kwenye database/system inayojumlisha matokeo yote?

Nimesikia japo sina uhakika wamemwachisha kazi mkurugenzi wa IT wa NEC sina uhakika japo sijajua ni kwa sababu gani.
 
Mkuu, natofautiana na wewe kidogo hapo kwenye kekundu japo sihofii hilo. Ninachojua mimi ni kuwa halitakuwa ni suala la utashi wa Administrator binafsi. Kama kutakuwa na haja ya kuchakachua matokeo, lazima agizo hilo litokee mahali pa juu sana, liamriwe na wazito na kisha lisimamiwe na watendaji wazito pia. Baada ya hapo ndio Tume itangaze. Kamwe, haliwezi kuwa jambo la mtu mmoja na kamwe haliwezi kutokea kwa utashi wa mtu mmoja. Hapo lazima kuwe na kitu watu wa sheria wanakiita JOINT CRIMINAL ENTERPRISE ama JCE.

Unachokisema binafsi kinaingia akilini kwa sababu hata huu uwazi wa mchakato wa uchaguzi unaotangazwa sana sasa hivi na NEC ni kuwafanya watu wauamini huo mfumo na kuona kwamba hapatakua na wizi wa kura kama matokeo yatabandikwa vituoni.

Sasa kama watu wakishakua na imani na mfumo, na ikafanyika JCE unafikiri kutakua na kulalamika tena hapo mkuu? Tutaishia tu kusema maneno ya hapa na pale na ndio itakua imetoka kama matokeo ya soka yanavyokua.
 
Back
Top Bottom