wananchi hawataki kwanini uwalazimishe unachotaka africa tunaitaji kiongozi wa kuwakemea wenzie kama zuma aliwahi kuwakemea wenzie na tuache sheria tulizojiwekea zifanye kazi. sasa mfano kinachoendelea congo viongozi najua mnapitia mitandao sana africa haita endelea kwa staili hii tujifunze ghana demokrasia tueshim maanuzi ya wengi