hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Hiyo hesabu ya kura milion 23 ni ndogo sana kama kuna mtu ataibiwa kura atakuwa amependa yeye kuibiwa. Kwasababu ya uvivu wake wa kufikiri. Na kama ni swala la kubadilisha namba basi inatakiwa wakihesabu kura na matokeo wakibandikwa matokeo yanapigwa picha na zinatumwa picha pamoja na matokeo ikiwezekana na ujumbe wa sauti nao unatumwa harafu tuone.hizo kura wataiba vipi.