SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Wanawake na ujanja wao wote iwapo ataolewa na mwanaume anayemzidi ubavu huwa wanashindwa tu kurudi makwao.

Haswa huku kanda ya ziwa huwa inabidi avumilie ni mwiko kwa mwanamke alieolewa kullamika kuwa jamaa anamaumbile manene na marefu.

Halafu kila mwaka mimba inatinga inafikia wakati kizazi huwa kinashuka mpaka kinachungulia nje na fistula juu.

Hapo mwanamke akisia sauti ta mumewe huwa anamuogopa hiyo ndio heshima.
 
Hahahaaa
 
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.

Mrs Jr.
Kuchepuka kutamu asikuambie mtu, km huamini jaribu

Pia kuchepuka ni kipimo cha urijali kwa mwanaume
 
Maliyamtu, nakubaliana na wewe kwenye kipengele cha mwisho, cha kumuhimiza mwanaume kufanya maendeleo. Ila cha kwamba wanaume hawawez kujizuia SIO KWELI, Mfano mie nilipataka Mwanamke nilimpenda na niliridhika mpaka basii, kila mwanamke mwingine namuona TAKATAKA HANA CHA KUNIPA . Sikuwahi kuchepuka na tulikuwa tunafanya kazi mbalimbali. ACHA MAMBO HIYO, KAMA UMEKOSEA KUOA BASI MTUACHE TUCHEPUKE
Vizuri sana mkuu na hongera kwa kuweza kuzuia tamaa ya mwili
 
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.

Huko ni uchawi sasa, usiwafundishe wengine bhana
 
Fanya utafiti ni kwa nini wanaume wanachepuka .. ukipata majibu ndo uyafanyie kazi.
 
mwanamke akishaolewa anajisahau hata usafi unakuwa wa kiwango cha chini saa ngapi mwanaume asiende kuchota maji kenye kisima kisafi?
 
Back
Top Bottom