SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.

Mrs Jr.
Swali, wanawake mfanyiwe nini ili muache kupenda kwingine?
Maana unakuta sometimea mwanaume anahudumia vyote lakin bado mtaruka njia na kuangukia kwingine ?
 
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.

Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?

Naombeni majibu.

Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke

Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.

Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.

Mrs Jr.
Mwanaume anachohitaji ni heshima. Hata biblia imesema( lakin ni hii ni kwa wale waanaojiheshimu.)
Tabia zinazowafanya wanaume wachepuke ni ndogo ndogo, kama kuwa na kiburi, ubishi, ujuaji. Kuto msikiliza mumeo.
Hakuna mwanaume atakaa na mwanamke kiburi, hayupo. Hata kama umemzidi mshahara onyesha heshima. Ukiweza hilo akichepuka tena labda atakuwa muhuni.
 
Mwanaume kukosa mchepuko ni sawa na utawala wa nchi bila vyama vya upinzani.. maana yake hakuna demokrasia ila sasa......??..mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na KIKUNDI CHA WAASI...kwenye utawala wa kidemokrasia....
 
Back
Top Bottom