Swali. Unaweza ukastaafu ukaishi kwa kujificha kwa aibu

Swali. Unaweza ukastaafu ukaishi kwa kujificha kwa aibu

amarina

Senior Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
181
Reaction score
290
Nahisi usipoheshimu siku zote za uhai wako, unaweza kuja kuishi kwa kujifichaficha.

Hata ukihudhuria jambo ukajificha kamera zisikuone.

Nauliza je ikiwa hali imeshakuwa hivyo nitafanyaje
 
Kichwa Cha habari ni kigumu na ukija kwenye maudhui Mimi nimepoteza dira.
Mkuu unaonekana uko sehemu kabisa unakula Bia aisee.!!! Location????
 
Back
Top Bottom