= Magufuli
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mbona magufuli mwenyewe huwa ktk mikutano yake anasema AJILA badala ya AJIRA, MALAFIKI badala ya MARAFIKI. Yeye allisoma wapi?. Jitambue bibi= Magufuli
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mbona magufuli mwenyewe huwa ktk mikutano yake anasema AJILA badala ya AJIRA, MALAFIKI badala ya MARAFIKI. Yeye allisoma wapi?. Jitambue bibi
Kwani hili jina liko kwenye syllabus za shule?
Jina lenyewe la kilugha, spelling hazituhusu
Tuomezoea au sijui iko kwenye katiba yao kuwa Rais ndiye anakuwa mwenyekiti wa ccm.
Sasa kwavile dalili za ccm kuwa chama cha upinzani ni kubwa, so mwenyekiti atakuwa aliyekuwa mgombea wa uraisi? Au watachagua mwingine mwenye uzoefu kidogo?
Mgombea amekuwa akiahidi kuleta mabadiliko ndani ya chama. Sasa wananchi tukimkata, wenye chama chao wataendelea kuona umuhimu wake au ndio itakuwa imetoka?
Nina wasiwasi mkubwa watamdiss, sasa wito kwa watanzania wamuhurumie Magufuri wasimkate ili aweze kuwa mwenyekiti wa chama akifumue kama alivyoahidi. Au mnaonaje?
Unazidi kujidhihirisha kuwa ujinga upo kwenye genes zako. Sikushangai hata chembe.
Mwacheni Mkapa ajisemee kweli "wapumbavu na malofa".