Swali: Tenki lipi litawai kujaa?

Ukijibu bila mikurupuko yeyote kama ilivyo desturi ya watanganyika wengi basi na 3 ndio ya kwanza kujaa ila ukikurupuka tu lazima useme 4 ,samahani lakin sija mlenga mtu.
 
Ukijibu bila mikurupuko yeyote kama ilivyo desturi ya watanganyika wengi basi na 5 ndio ya kwanza kujaa ila ukikurupuka tu lazima useme 4 samahani lakin sija mlenga mtu.
Nataka kuona ukitengua Kauli yako....
Binafsi naona 5 ndo litafuatia kujaa baada ya 4...

Thibitisha kwa nini 5 liwe kwanza?
 
Ukijibu bila mikurupuko yeyote kama ilivyo desturi ya watanganyika wengi basi na 5 ndio ya kwanza kujaa ila ukikurupuka tu lazima useme 4 samahani lakin sija mlenga mtu.
Naona ninekurupuka kujibu,lakini naona still ni 4
 
Nataka kuona ukitengua Kauli yako....
Binafsi naona 5 ndo litafuatia kujaa baada ya 4...

Thibitisha kwa nini 5 liwe kwanza?
Sawa tuendelee kusubiri majibu ya wachangiaji wengi huenda wapo watakao ungana na mimi na kauli sita itengua abadan
 
Ukijibu bila mikurupuko yeyote kama ilivyo desturi ya watanganyika wengi basi na 5 ndio ya kwanza kujaa ila ukikurupuka tu lazima useme 4 samahani lakin sija mlenga mtu.
Duuuh.....UMEKURUPUKA vibaya, ila usijali hii ni awamu ya WAKURUPUKAJI.

Namba 4 itatangulia kujaa kabla ya nyingine zote.

Outlet ya namba 1 kwenda namba tatu iko chini kuliko kwenda namba 2. Na ukizama zaidi, kama hamna jinsi ya ku-contain kimiminika hicho kwenye namba 3, basi upande wa namba 2 hautapata kitu.
 
Aisee namba tatu ndo litawahi kujaa. Hapo mpira unaotumika kupeleka namba tano kumbe nao umziba mbele.. (Hili wenge la kujibu fasta)
 
Namba tatu ndo litaanza mzee angalia vizuri
 
Sawa tuendelee kusubiri majibu ya wachangiaji wengi huenda wapo watakao ungana na mimi na kauli sita itengua abadan
Duh! Mm ndo nimetengua Kauli Mkuu, baada ya kufumba jicho moja, Makengeneza na yenyewe ni shida.
 
Hahahhaaaaaaa watanganyika bwana sijui nani katuloga hakika , blah blah nyiiingi wakati hakuna umakini wowote NAENDELEA KUSISITIZA WAKURUPUKAJI LAZIMA WASEME NAMB 4 KAMA WEWE
 
Mkuu namba nne haliwezi kujaa.. Mpira wake umezibwa mwanzoni tu .kwaiyo maji hayaendi kabisa
Nisaidie ndugu yangu hawa watu kwakweli hawana udadisi kabisaa lakin ndio desturi ya watanganyika ni wakurupukaji kwa kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…