Swali rahisi Majibu magumu!

Swali rahisi Majibu magumu!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Hivi naomba kuuliza utasikia bonyeza alama ya reli #!je reli ilikuwa yakwanza kuwepo kabla ya alma hiyo ya reli!!??Au maandiko ndiyo yakwanza kabla ya reli??
 
sina uhakika mkuu ila lugha pia huwa inakuwa na kufa vilevile, na reli sidhani kama ni jina sahii la alama hiyyo.
 
sina uhakika mkuu ila lugha pia huwa inakuwa na kufa vilevile, na reli sidhani kama ni jina sahii la alama hiyyo.
Jina sahihi la alama hiyo nilipi sasa kama leri sijina lake!!??
 
Jibu ni NDIO, reli ilikuja Tanzania kabla ya hiyo alama......reli ilikuwepo tokea enzi za zilee....ila hiyo alama imekuja na simu hivi karibuni.

Kwa kiingereza haiitwi alama ya reli, inaitwa hash sign au number sign. Ila kwa hapa kwetu imefanana na reli kwa sababu tuliijua reli kwanza kabla ya alama hii.
 
ila kwa watoto wa sasa wa tanzania itakua ngumu kujua alama ya reli kwa kua sehemu nyingi za tanzania hakuna reli inayofanya kazi
 
mkuu pound sign ni tofauti.....ni alama ya hela ya uingereza

Nafahamu. Lakini si unajua neno moja la kiingereza linaweza kumaanisha vitu vingi tofauti?
In American english, # is called pound sign.
Kama unaongelea currency symbol for British pound sterling ni £.

soma hapa:
In the United States, the symbol is usually called the pound sign, and the key bearing this symbol on touch-tone phones is called the pound key. In Canada, this key is most frequently called the number sign key. In most English-speaking countries outside North America, the symbol is usually called the hash, and the corresponding telephone key is the hash key. Beginning in the 1960s, telephone engineers have attempted to coin a special name for this symbol, with variant spellings including octothorp, octothorpe, octathorp, and octatherp.[1] None has become universal or widely accepted. In non-English speaking nations, other names for this symbol are also used.

source:Number sign - Wikipedia, the free encyclopedia

na zaidi kuhusu pound as a currency
Pound sign - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom