Filipo Lubua
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 339
- 579
Swali langu ni rahisi sana: Zitto unadhani ni nani hasa akuvurugaye? Je unadhani Chadema ndio waliochukia kazi yako katika ESCROW na ndio maana wakakufukuza uanachama? Je unadhani waliotuhumiwa katika ESCROW wametia mikono yao mahakamani na kusababisha mahakama ikunyime haki yako? Hapa unayemtuhumu kutumiwa na waathirika wa ESCROW ni Chadema au Mahakama?Kwa kazi ya ‪#‎TegetaEscrow‬ ilivyokuwa ingeshangaza waathirika kukaa bila kujaribu kunivuruga. Bahati mbaya sana sivurugiki.
Zitto namkumbusha kauli ya waria report ya PAC ni dhaifu sanaJamani wadau wenzangu,
Nina Swali rahisi sana kwa Mh. Zitto Kabwe. Jana baada ya taarifa kuwa Mahakama imetupilia kapuni kesi yake na kuipatia ushindi Chadema, Zitto aliandika hivi kwenye ukuta wake wa Facebook:
Swali langu ni rahisi sana: Zitto unadhani ni nani hasa akuvurugaye? Je unadhani Chadema ndio waliochukia kazi yako katika ESCROW na ndio maana wakakufukuza uanachama? Je unadhani waliotuhumiwa katika ESCROW wametia mikono yao mahakamani na kusababisha mahakama ikunyime haki yako? Hapa unayemtuhumu kutumiwa na waathirika wa ESCROW ni Chadema au Mahakama?
Swali lingine la mwisho, mbona hili suala la ESCROW linakuvimbisha kichwa kana kwamba wewe ndiye uliyeliibua? Katika hili swali langu la mwisho, nisieleweke kwamba nahafifisha kazi nzuri ambayo kamati ya PAC iliifanya, bali nieleweke kuwa ninatamani Kafulila apewe heshima inayomstahili katika sakata hilo. Yeye ndiye aliyeitwa ngedere, yeye ndiye aliyetishiwa kushitakiwa mahakamani, yeye ndiye aliyelipigania tangu mwanzo hadi mwisho. Krediti nyingi zingepaswa zimrudie yeye. Nikipata majibu ya maswali yangu haya mawili, moyo wangu utatulia kidogo.
Hapa ndipo nishindwapo kuwaelewa. Kwani Zitto ndiye aliyekuwa akifanya kazi za PAC peke yake? Mbona mnawapuuza wajumbe wengine wa kamati kama akina Filikunjombe ambao nao wana uwezo wa kuendelea na shughuli za kamati? Kufa kwa imamu kunakuwaje mwisho wa sala zote msikitini?Kwamawazo yangu finyu, me nadhan ccm au serekali imechangaia kwa namna 1 AMA nyingi, kwamba amesomewa shitaka lake na kutolewa hukumu, tarehe 10 ilimajibu yarudi yakutoshiriki binge lijalo Kabla ya tarehe 17, asiwasilishe hoja inayowahusu wizara ya ujenz, juu ya Pesa walizo Piga tena mabilion hayo, "ufinyu wangu mdogo nihuwo"
....
....ubinafsi ni gonjwa hatari Tanzania!!!
Jamani wadau wenzangu,
Nina Swali rahisi sana kwa Mh. Zitto Kabwe. Jana baada ya taarifa kuwa Mahakama imetupilia kapuni kesi yake na kuipatia ushindi Chadema, Zitto aliandika hivi kwenye ukuta wake wa Facebook:
Swali langu ni rahisi sana: Zitto unadhani ni nani hasa akuvurugaye? Je unadhani Chadema ndio waliochukia kazi yako katika ESCROW na ndio maana wakakufukuza uanachama? Je unadhani waliotuhumiwa katika ESCROW wametia mikono yao mahakamani na kusababisha mahakama ikunyime haki yako? Hapa unayemtuhumu kutumiwa na waathirika wa ESCROW ni Chadema au Mahakama?
Swali lingine la mwisho, mbona hili suala la ESCROW linakuvimbisha kichwa kana kwamba wewe ndiye uliyeliibua? Katika hili swali langu la mwisho, nisieleweke kwamba nahafifisha kazi nzuri ambayo kamati ya PAC iliifanya, bali nieleweke kuwa ninatamani Kafulila apewe heshima inayomstahili katika sakata hilo. Yeye ndiye aliyeitwa ngedere, yeye ndiye aliyetishiwa kushitakiwa mahakamani, yeye ndiye aliyelipigania tangu mwanzo hadi mwisho. Krediti nyingi zingepaswa zimrudie yeye. Nikipata majibu ya maswali yangu haya mawili, moyo wangu utatulia kidogo.
Usinyee kiganja kinachokulisha. Kumbe Zitto bado anaipenda CHADEMA na nje ya CDM si chochote!. Hata kama hukumu ingetolewa mwakani bado Zitto angetoka. Kama kweli shujaa na ni maarufu kuliko Chama analalamika nini? Umezoea kujitajirisha kwa uongo sasa kazi kwako. Karibu kitaani!
Subiri kidogo tuu, sasa hivi ZZK atakuja humu jf kujibu!.Jamani wadau wenzangu,
Nina Swali rahisi sana kwa Mh. Zitto Kabwe.
Kwa nini zitto kila kitu akifanya na watu anataka aoneshe kazi ile kafanya yeye peke yake kana kwamba wengine si lolote?
Ivi tujiulize zitto asipokuwepo PAC Ina maana kamati itashindwa kuwasilisha report kisa tu zitto hayupo?
Zitto acha ubinafsi
Nenda ukajifunze maana ya rhetorics, na hasa ujifunze rhtorical questions. Kwa Kiswahili tunaita maswali ya namna hiyo 'balagha' na ni watu wenye uwezo wa kuyauliza maswali hayo wawezao kuyajua maswali hayo. Kama unafikiri mimi nina ushabiki wa vyama, unajidanganya. Nenda kwenye nyuzi zangu zote za huko nyuma utagundua kuwa mie nakosoa mwanasiasa yeyote. Nilishafanya hivyo kwa Slaa, Mnyika, Kikwete, Nchemba na wengine wengi. Tatizo mlio mashabiki wa vyama mmekumbwa na upofu wa kisiasa, hamwezi kuelewa mambo katika uhalisia wake.Kaka una maelezo mazuri ila umeshindwa kuyajenga kama maswali, kitaalam hapo hakuna swali ulilouliza bali ulikua unatoa maelezo yenye mfumo wa kuhoji.
Zitto katanguliza kusema kua waliojaribu kutaka kuvuruga ni waathirika wa tegeta escrow hapo tayari kishajibu swali lako kwanza moja kwa moja.
Ungeuliza labda akutajie majina ya hao waathirika wa tegeta escrow wanaomvuruga nadhani lingekua swali zuri sana ila wewe unaanza kujijibu mwenyewe kwa kuhusisha chadema au Mahakama ndo zinazomvuruga kana kwamba una majibu ya unachokiuliza.
Swali lako la pili unauliza kitu halafu unatiririka na maelezo ya kutosha sasa sijui ajibu nini, unauliza kama zitto ndie alieibua suala la ESCROW halafu mwisho unajibu mwenyewe ni kafulila.
Kaka unapotaka kujenga hoja au kuuliza swali la msingi weka kwanza mapenzi yako ya chama kando ndipo utakapoweza kufanya hivo.