Unaaimani ipi?Wana JF Habari za Weekend, Wenzangu na Mimi Poleni Na Mninginio maana pengine Ukali wa maisha na Mfumuko wa Bei ndo unasababisha Tupige vyombo vya Ilala Kwa sana ili kupunguza misongo ya mawazo.
ManaJF mwisho wa Wiki iliyopita nilipata safari kwenda Mwanga nikitokea A-town. Nilipanda Basi la Abiria ambalo linafanya Safari za Arusha-Tanga Kila siku, nikiwa kwenya Basi hilo nilikaa na Baba Mmoja wa makamoa aliyevalia Suti nzuri Rangi ya Kijivu huku kichwani akiwa na Kibarakashee Vidole vyake vya mikononi vilikuwa vimesheheni Mapete Makubwa; Mgawanyo wa Pete hizo ulikuwa ni 2 Vidole vya Mkono wa Kulia na 2 zenye vito zikiwa Vidole vya mkono wa Kushoto.
Tulipiga Story za hapa na Pale na alionekana kuhusisha utani kidogo katika mazungumzo yetu, moja wapo ikiwa ni Kusifia mapishi ya wanawake wa Kitanga.
Kutokana na story za Utani tulizopiga piga nilipata ujasiri wa kumuuliza Je Zile zote zilikuwa zinaashiria nini; alicheka kwa kebehi na kunijibu kuwa Kuwa inakuwa hadi leo sijajua kuwa kuna pete za bahati na kinga kwa mambo mabaya! Nilishangaa lakini nikajikaza kidogo ili asijue kuwa nimeshangaa kiasi hicho.....
Nilijiuliza Kimoyo moyo kuwa hiki kitu kinawezekanaje na kikubwa Kwa imani yangu nikaona kama hakuna mwongozo wowote ambao naweza kusema aunaniongoza kuishi kwa kutegemea hizo pete.
WanaJF Ni kweli kuna Hizi pete za Bahati au Ulinzi kwa mambo Mabaya?
Naomba Kuwasilisha.
Unaumiza mbavu zangu mieeee!!Naabudu J2!
huyo mzee ni mshirikina-hayo mambo wanafanya wale wanaotegemea nguvu za giza na kuwategemea binadamu wenzao-kama kweli hizo pete ni za bahati-huyo mzee nazan angeshakueleza bahati alizopata bila hata wewe kumhojiWana JF Habari za Weekend, Wenzangu na Mimi Poleni Na Mninginio maana pengine Ukali wa maisha na Mfumuko wa Bei ndo unasababisha Tupige vyombo vya Ilala Kwa sana ili kupunguza misongo ya mawazo.
ManaJF mwisho wa Wiki iliyopita nilipata safari kwenda Mwanga nikitokea A-town. Nilipanda Basi la Abiria ambalo linafanya Safari za Arusha-Tanga Kila siku, nikiwa kwenya Basi hilo nilikaa na Baba Mmoja wa makamoa aliyevalia Suti nzuri Rangi ya Kijivu huku kichwani akiwa na Kibarakashee Vidole vyake vya mikononi vilikuwa vimesheheni Mapete Makubwa; Mgawanyo wa Pete hizo ulikuwa ni 2 Vidole vya Mkono wa Kulia na 2 zenye vito zikiwa Vidole vya mkono wa Kushoto.
Tulipiga Story za hapa na Pale na alionekana kuhusisha utani kidogo katika mazungumzo yetu, moja wapo ikiwa ni Kusifia mapishi ya wanawake wa Kitanga.
Kutokana na story za Utani tulizopiga piga nilipata ujasiri wa kumuuliza Je Zile zote zilikuwa zinaashiria nini; alicheka kwa kebehi na kunijibu kuwa Kuwa inakuwa hadi leo sijajua kuwa kuna pete za bahati na kinga kwa mambo mabaya! Nilishangaa lakini nikajikaza kidogo ili asijue kuwa nimeshangaa kiasi hicho.....
Nilijiuliza Kimoyo moyo kuwa hiki kitu kinawezekanaje na kikubwa Kwa imani yangu nikaona kama hakuna mwongozo wowote ambao naweza kusema aunaniongoza kuishi kwa kutegemea hizo pete.
WanaJF Ni kweli kuna Hizi pete za Bahati au Ulinzi kwa mambo Mabaya?
Naomba Kuwasilisha.
Hizo ni imani na ni vizuri sana kuheshimu imani za watu.
Je umeshawahi kuona wahindi wakifanya vitu vyao katika masanamu kila subuhi?
Mie simo naheshimu sana imani za watu.
Nashukuru kunisaidia.Huna sababu ya Kuvunjika Mbavu wala Kumwogopa Mod kama utakacho-post kinafuata Rules za JF!!
Muwe mwatusaidia kutueleza maana ya huo ushirikina! Sio kusema kitu hatujaelewa na kuweka full stop! Ndio nini! Tusiulize???!!!.Hakuna logic yoyote kati ya kuvaa pete na bahati / kujikinga na majanga mabaya.
Huo ni Ushirikina, full stop.
Tuache utani kwenye taaluma.Pete haileti bahati. Huo ni ushirikina. Riziki zote huletwa na mola. Tujiepushe na imani hizo mbaya ili tusalimike kesho akhera, siku ambayo kila nafsi itahukumiwa kulingana na yale ulotenda.[cha msingi tufuate muongozo wa vitabu].