Selwa JF-Expert Member Dec 17, 2010 582 586 Mar 27, 2017 #1 nini ulishawahi fanya utotoni ambacho hujawahi kuwaambia wazazi au mzazi wako/ mlezi Mimi niliiba kuku wa majirani flani nikawapaka rangi nikamuuzia huyo huyo mhusika
nini ulishawahi fanya utotoni ambacho hujawahi kuwaambia wazazi au mzazi wako/ mlezi Mimi niliiba kuku wa majirani flani nikawapaka rangi nikamuuzia huyo huyo mhusika
The End.. JF-Expert Member Aug 13, 2013 4,357 3,835 Mar 27, 2017 #2 nilivyopigwa BAN JF sikuwaambia..
Selwa JF-Expert Member Dec 17, 2010 582 586 Mar 27, 2017 Thread starter #3 The End.. said: nilivyopigwa BAN JF sikuwaambia.. Click to expand... aah mkuu ulifanyaje
The End.. JF-Expert Member Aug 13, 2013 4,357 3,835 Mar 27, 2017 #4 Selwa said: aah mkuu ulifanyaje Click to expand... kuna demu kasema wanaume kama watoto... nikamuuliza baba yako ushamvisha nepi..!!! BAN
Selwa said: aah mkuu ulifanyaje Click to expand... kuna demu kasema wanaume kama watoto... nikamuuliza baba yako ushamvisha nepi..!!! BAN
Chakorii JF-Expert Member Jul 11, 2015 18,757 51,373 Mar 30, 2017 #5 The End.. said: kuna demu kasema wanaume kama watoto... nikamuuliza baba yako ushamvisha nepi..!!! BAN Click to expand... Nimecheka mpka watu wakanishangaa
The End.. said: kuna demu kasema wanaume kama watoto... nikamuuliza baba yako ushamvisha nepi..!!! BAN Click to expand... Nimecheka mpka watu wakanishangaa