Swali : Nimeulizwa

Polisi hawajishughulishi na kesi za wanandoa au wapenzi kwa sababu mara nyingi zimekaa kutishiana tishiana zaidi na hakuna dhamira ya dhati ya kushitakiana. Kama kweli umedhamiria kwa dhati kupata haki yako mahakamani waeleze hilo polisi na hawawezi kukupuuzia kwani hawana mamlaka kisheria kuzuia makosa ya jinai yasifike mahakamani.
 
Hapo kwenye nyota rekebisha...kadhaa. Pia usiwe na shaka hapo wanapima hali ya hewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…