Swali: Nataka kujua muungano ni wa ccm ama wa wa watanzania wote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Nataka kujua muungano ni wa ccm ama wa wa watanzania wote?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by i pad3, Apr 13, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huu muungano ni sera ama ni matakwa ya chama tawala au ni wa watanganyika wote waliridhia? una faida gani kwetu sisi watanganyika ? na kwa nini taifa la tanganyika hali exist? naomba nijibiwe haya maswali jamani kwani sielewi huu muungano upoje upoje ..naweza kuuita sio muungano sijui hata ni muundo gani. bila jazba.
  asalamu aleikumu
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nazungumzia muungano wa tanganyika na zanzibar
   
Loading...