Swali naomba majibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali naomba majibu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ndume, Aug 10, 2012.

 1. n

  ndume Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwanini viwanja vingi vya ndege hujengwa karibu na uso wa maji au mara nyingi karibu na kiwanja cha ndege kuna kuwa na bwawa au ziwa mfano uwanja wa mwalimu nyerere upo karibu na bahari na viwanja vya ndege vingine
   
 2. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Siyo kweli kwani kuna viwanja vingi kama kilimanjaro, Jomo Kenyatta nk. Kama unataka kujenga kiwanja kwenye mji uliomwambao wa pwani au ziwa how far would you call it far enough????
  Viwanja vingi hujengwa nje kabisa ya mji mfano kabla ya uhuru uwanja wa ndege dar ulikuwa national stadium [ambapo kwa wakati ule kulikuwa mbali sana na mjini. Ilivyoonekana kuwa mji unakuwa kikajengwa kiwanja kingine pale kipawa ambapo palikuwa mbali sana na mjini. tatizo ambalo mimi ninadhani limejitokeza hasa kwa tanzania ni kuwa viwanja vingi vya serikali vilikuwa havihitaji title deed kwa sababu ni mali ya serikali na ardhi pia tatizo hili na lile ambalo lililoanza na wafanyakazi kwenye viwanja kuanza kujenga karibu na sehemu zao za kazi kulichangia kukaribisha wahamiaji wengine ambao kwa sasa imekuwa kero kubwa kwenye viwanja vya ndege na kambi za jeshi.
  Na hivi sasa hii population explosion na rate yake inavyoongezeka kwa kasi itakuwa vigumu sana kuepuka encroachment kweney maeneo haya .
  Vilvile kuna risk ambayo wengi haijatutokea [mungu aepushe mbali] itakapotokea ajali mbaya ya ndege kubwa kuanguka na kulipuka moto ndiyo hapo tutakapo zindukana na kuona athari ya kujenga maeneo haya ni sawa na kujenga karibu na kambi za jeshi.
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  swali limejibiwa???????????????????
   
 4. n

  ndume Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Naona kama ujaelewa swali,ni hivi si kiwanja cha ndege kuwa mjini bali ni hivi kwa nini vinajegwa karibu na mabwawa au ziwa au bahari
   
 5. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Jaribu kurekebisha nadhani unazungumzia kiota au nimekosea?
   
 6. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  KIA , Jomo Kenyatta,J'burg, lusaka viko karibu na bwawa au bahari???
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  jina lako na mawazo yako...vimeachana kama mbingu na ardhi.
   
 8. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Nina fahamu kuwa hapa jamvini tuko watu wenye upeo wa aina mbali mbali na pengine mimi ndiye mbumbumbu kuliko wengi. lakini ninakuomba uchukue ramani ya dunia ya atlas halafu angalia miji mikuu ya nchi mbalimbali iliyo mbali na bahari/maziwa/mito etc halafu uone kama kweli viwanja vingi vya ndege vinajengwa karibu na maji.
  Viwanja vya ndege vinajengwa mahala ambako kuna uchumi ambao unaweza kuhimili gharama na kupata faida kwa mwekezaji -inaweza kuwa serikali [dunia ya tatu] au private.
   
Loading...