Inategemea kwa kweli ni ngumu kuacha harakax2 au kwa ghfla kwakweli. Inahtajka akili ya ziada kuwachunguza kujua wameacha au wamepumzika kidogo wimbi lipitee.
Kwangu kuchepuka hakuna excuse iwe bahati mbaya iwe makusudi hapo ni RED CARD tu nafsi yangu siyo rahisi kiasi hicho kwamba niwe nachanganywa na wanaume wengine its better i live single forever kuliko mchanganyo!
mimi ni mkristo. BIBLIA INACEMA NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE, Pia m2me paulo alicema, M2 ASIMWACHE MKEWE ICIPOKUWA KWA HABARI YA UASHERATI. tafakar na ufanye maamuz ya busara hasa kwako ndugu
inategemea kama alikili sababu ya kipigo ulichomshushia hawez acha atakuwa amekudanganya tu ila kama alikili kwa mazungumzo tu bila kipigo ataacha kweli
Mrudishe kwao akakae japo mwezi/miezi..wamfunde na yeye mwenyewe ajitafakari vizuri kile alichofanya zen akirudi kuomba msamaha angalia kama msamaha wake anaomba kwa dhati ya moyo wake au ile tu kuepusha shari..
Na usikubali kutoa msamaha bila kujua sababu iliomfanya akusaliti(Ili ni la msingi sana)..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.