Swali: Mwakyembe anajua zaidi ya Takururu?

napita naenda kunywa chai na mihogo. ila kwakukurupuka Mwakyembe anaongoza subilini.

hakika umenena mkuu, kwa kisiki alichoparamia mwakyembe saiv lazima kitamshinda tuu na itakuwa aibu kubwa kwake kwa kasi ya kesi anavyotaka ikimbizwe mahakamani ila itazima kama mshumaa kwenye upepo. system iko very corrupt hakulianalia kwanza hilo, na ngoma hii si rahisi kuchezeka kama alivyo muangusha laigwanan wa monduli, this is something BIG and serious......TUSUBIRI TUONE!!
 
Nakuunga mkono Saint Ivuga !
Ni kweli ubadhirifu umefanyika, lakini suala la kujua nani anahusika linahitaji utaalamu wa fani husika, na sio kukurupuka.
Ni mbaya sana inapotokea asiyehusika anaingia kwenye mkumbo kutokana na maamuzi ya kisiasa.
Mwakyembe amekurupuka !!!!!
Wana JF,

Hoja zenu zote ni nzuri sana tuu ila zinahitaji umakinufu sana toka kwa mwakyembe hadi kwa wachangiaji, Yawezekana kweli kakurupuka Dr au nasi wachangiaji tumekurupuka. ndio twajua ana uweo wa kisheria hatukatai na jee yeye alivyo toa order kuwa wafikishwe mahakamani within 2 days Je alisha fanya uchunguzi makininifu ju ya tuhuma hizo au anajua fika hiyo case haitaji mlolongo wa mara hapa mara pale ka siku zote ukienda police anajua fika kabisa labda inaitaji vitu flani ambavyo vina kamilika in 2 days au in 2 days casi ikisha fika ndio uchunguzi utaanza?

Na si wachangiaji je tulisha pewa the full details about the case anayo ishughurikia Dr?au nasi tumekurupuka na kumshambilia Dr? je tunauelewa wa mwanzo wa hii case mpaka ilipo fika.

My Take;

ni kuwa kesi hali au tukio halisi linge mwagwa hapa ili nasi tulione lote na tutoe yetu tuyajua avyo na ushauri wa mawakili wengine wanao soma JF. me nadhani tutoe muda tuone ingawa case nyingi huwa twapigwa changa la macho kweli.

NB:
T
ukumbuke kuwa nchi hii huwa kuna kesi zinachukuwa ma days rukuki kwa kesi ndigo tu, mwajua mifumo yetu ya utawala ni mibovu sana sasa kwa wale wanao jua ndio wanajua kutuchezea akili wengine watautumia vibaya na rushwa juu wengine ndio watautumi avizuri na tutabaki kujiuliza khaaa kumbe inawezekana mbona inakuwaga sio wakuta watu wanachena na HAKI yako.

dah, ili la waziri kwenda bandarini kukamata deal, mhmmm dkt namwaminia lakini katika hili anatafuta sifa, kazi wamefanya wengine misifa anaenda pewa yeye, na miandishi ya habari kibao, hizi sifa sasa zitampeleka siko, yeye apige kazi tu.
 
Kwa Mtanzania anaamini utendaji wa TAKUKURU,MAJESHI YOTE na MAHAKAMA, namuonea huruma maana atakua amepotea
 
Mnae huyu jamaa,

Hamkujua kua Pollonium ima Positive effective kwa mwanadamu!?
 
Japokuwa yeye ni mwanasheria hivyo anajua zaidi...lakini sikumwelewe alipoagiza kesi ipelekwe mahakamani haraka ndani ya siku 2...hii ndio zinapelekwa kesi kwa kukurupuka zisizo na ushahidi wa kutosha halafu watuhumiwa wanashinda kirahisi!
ila mimi labda ndio nashindwa kukuelewa wewe!kwani ulitaka aseme vp!!kesi nyingi zinaishia polis na mahakaman hazifiki ndio maana akasisitiza kamanda kesi lazima ifike mahakamani!!nadhan hukumsikiliza vizuri na umekurupuka tu!!dhandho anadaiwa tzs 616 m,wakafoji document na ikaonekana anadaiwa sh mil16 tu!still unataka ushahidi gani wewe?
 
nadhan pakuanzia kujua kama DR. kakurupuka au laa kuna maswali ya kujiuliza hapa....
1. Dhando ni nan?
2. Anamiliki gari ngap?
3. Yuko share na nan katika gar zake?
4. Hayo magari aliokuwa anayatoa bandarin alikuwa anamuuzia mwenye company ya PWANI logistics je mwenye pwan logistics ni nan?

hayo maswali yanagonga pabaya.......sitashangaa baraza la mawaziri kubadilishwa soon kama ataendelea kukomalia hii issue!!!!!!!!!
 
Hv nyie watu lini mtakuja kuelewa japo mambo madogo? Acheni kuandika ilimradi mmeandika. Dr amejipanga kama hamjuh, dr anawatu wake pale mahali na ndiyo maana alipata taharifa mapema sana ya tukio lile pale na yeye akafika kwa wakati. Pia tukio lile lilikuwa linafatiliwa kitambo tangu mchongo wao wa kutoa magari kinyemela unaanza. Hivyo pale alipokuwa anatoa maagizo tayari alikuwa ana taharifa yote .
Hivyo uamuzi wa kutaka kesk iende mahakamani in 2 days kwake ni sahihi kwakuwa anazo taharifa zote ambazo zitatumika kama ushahidi.
Pia yeye anajua kuwa wapo watu kwao nyaraka za kufoji zilipita tu mokononi mwao pasipo wao kujua wanachofanya,sasa, hapo mahakama ndiyo itawatoa hatiahani. Jueni tu kuwa upande wa utetezi wanaweza kutumia kama kinga kitendo cha kuwaacha baadhi ya watu ambao nao kwa namna moja au nyingine doc zilipita kwao bila kujali walijua au kutojua kilichokuwa kinaendelea.
Hivyo dr ni mtu makini na anajua anachofanya kwani pia anajua sheria vzr.
Inakuhitaji mtu ujue sheria japo kidogo ili uweze kutoa komenti juu ya maaumuzi na kauli zake ktk sakata hili. Jamaa ni jembe
 
Wana JF,

Hoja zenu zote ni nzuri sana tuu ila zinahitaji umakinufu sana toka kwa mwakyembe hadi kwa wachangiaji, Yawezekana kweli kakurupuka Dr au nasi wachangiaji tumekurupuka. ndio twajua ana uweo wa kisheria hatukatai na jee yeye alivyo toa order kuwa wafikishwe mahakamani within 2 days Je alisha fanya uchunguzi makininifu ju ya tuhuma hizo au anajua fika hiyo case haitaji mlolongo wa mara hapa mara pale ka siku zote ukienda police anajua fika kabisa labda inaitaji vitu flani ambavyo vina kamilika in 2 days au in 2 days casi ikisha fika ndio uchunguzi utaanza?

Na si wachangiaji je tulisha pewa the full details about the case anayo ishughurikia Dr?au nasi tumekurupuka na kumshambilia Dr? je tunauelewa wa mwanzo wa hii case mpaka ilipo fika.

My Take;

ni kuwa kesi hali au tukio halisi linge mwagwa hapa ili nasi tulione lote na tutoe yetu tuyajua avyo na ushauri wa mawakili wengine wanao soma JF. me nadhani tutoe muda tuone ingawa case nyingi huwa twapigwa changa la macho kweli.

NB:
T
ukumbuke kuwa nchi hii huwa kuna kesi zinachukuwa ma days rukuki kwa kesi ndigo tu, mwajua mifumo yetu ya utawala ni mibovu sana sasa kwa wale wanao jua ndio wanajua kutuchezea akili wengine watautumia vibaya na rushwa juu wengine ndio watautumi avizuri na tutabaki kujiuliza khaaa kumbe inawezekana mbona inakuwaga sio wakuta watu wanachena na HAKI yako.

Kwa jins nilivyomsikiliza mashitaka ni kwamba mmiliki wa magai makubwa ya mizigo dhandho highway complex aliagiza magari 20 toka nje tangu mwaka 2010,kutoka yalipofika hadi sas gharama na ushuru wa forodha ilifikia shi 616m.sasa basi mmiliki akafnya manyagunyagu ili magari yatoke bila kulipia gharama yote anayodaiwa,ikabidi wafoji document na gharama halisi ikasomeka sh 16m,wkakata kale ka 6 ka mwanzo,kuanzia hapo ndio mlolongo ukaendelea!!nilimsikia mh waziri akiongea radion.
 
Kuwa na proffessional yako si issue na usidhani kwa kuwa na hiyo proffessional yako unawazidi ambao hawajaisomea. Wapo watu wanawezakuwa wanayajua uliyoyasomea kuliko wewe uliyeyasoma!

kwa hyo shule tufute au? acha kupotosha watu
 
Back
Top Bottom