Swali muhimu.

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,615
Reaction score
2,264
Salam kwenu wakuu.Kwakua leo ni j'pili na wengi wetu tupo katika hali tulivu nawaombeni kwaheshima tushirikiane kujadili hili suala ambalo kwa imani yangu naona jibu lake ni muhimu sana kwa jamii yetu.
Je, nikitu gani unaweza kufanya iwapo anakujia mtu mahala ulipo kisha anakuomba kwa heshima,"twende kwenye nyumba ile" mnapofika anakwambia nimemuona mama yako ameingia humu ndani na mwanaume chumba kile pale wanafanya mapenzi.
 
Hakuna mtu wa kufanya hivi.

Ukiona mtu kafanya hiki kitendo mfute kabisa kwenye maisha yako.
 
Sasa wewe baada ya kuambiwa hivyo ulichukua uamuzi gani? tuanze na wewe kwanza.
 
Mama yangu.... Sio mke wangu...

Kwa umri huu nilionao hata kama baba yangu angekuwa hai nisingefanya chochote though ningejisikia vibaya na fedheha kubwa sana kwa sababu huyo nahisi dhamira yake ni kunidhalilisha tu.
 
Kama baba yupo nitamdharau mama,na huyo aliyenipeleka nitamshukuru pia
 
Hakuna mtu anaweza kuniambia huo ujing.a nikamuacha, lazima achezee kichapo kwanza. Unanipelekaje kwenye tukio Kama Hilo? Kwamba nikafumanie au?
 
Ukiwa na watu wa aina hiyo ujue kuna mahali unakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…