Swali mtihani wa STD 7 jana....

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,339
Reaction score
111,582
"Panya ukimfungia kwenye box na kipande cha nyama kwa muda mrefu, je nini kitatokea?"

Majibu yenu wana Chit Chat
 
Kama ni kweli basi tumekwisha....

ni kweli mkuu hilo swali lina jibu, nilisikia mtoto akihojiwa Radio One na akataja swali analolikumbuka na akalipa jibu
 
Kitu cha kwanza panya atatia uoga na baada ya muda akiona kumetulia anakula nyama yote then atatoboa box then atachapa mwendo. Weka tick chap....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…