Kinyume na modem ya voda, modem ya airtel niki-i-minimize haiendi kwenye task bar. Inapotea, haionekani kwenye taskbar. Kwa nini? Naomba jibu wataalamu mnaotumia modem za zantel, voda, airtel etc.
Ni kweli haloo Pokofame. Nimeiona icon ya airtel kwenye tray. Sijapata kuchek hapo mpaka leo ulipoeleza jambo hilo. Kwa hiyo modem iko designed kuweka icon yake kwenye tray tu na sio kwenye task bar?