SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

Wadau wa JF!
Ningependa kupata mawazo yenu, ni Mkoa gani ni mzuri wa kuishi hapa kwetu au ni Wilaya gani ni nzuri kwa kuishi??

Naomba tujadiliane.
mkuu kuna vitu vingi unatakiwa kuanisha katika maana yako ya kuishi je ni kibiashara zaidi ? au ni kelimu zaidi na kazi za ofisini? au utalii wa ndani ku spend?. mfano kibiashara zaidi mimi naona ni popote ndani ya tanzania hii ? , kielimu na kazi za ofisini mimi naona ni dar pamoja na kuspend maisha .
 
Hahaha hapana simfahamu ila nitamtafuta
Mtafute pale ilipokuwa kambi ya ujenzi ni baada tu ya kupinda kona kuelekea Wawi mkono wa kushoto, pana barabara iliyokuwa inaelekea uwanjani na sie ndio tulionzisha timu ya Muungano baadae Chipukizi wakanichukua. Mweleze James Kasubi anakusalimia.
 
Mtafute pale ilipokuwa kambi ya ujenzi ni baada tu ya kupinda kona kuelekea Wawi mkono wa kushoto, pana barabara iliyokuwa inaelekea uwanjani na sie ndio tulionzisha timu ya Muungano baadae Chipukizi wakanichukua. Mweleze James Kasubi anakusalimia.

Kweli unapajua mkuu.
 
Karibu Pemba mkuu ni pazuri kuliko unavyofkiria, amani + utuluvu 100%, hewa nzuri kutoka kwenye miti iliyojaa iukijani, hakuna stress za wizi, majambazi, wala wanawake wanaojiuza
Lakini nyie ndio wazee wa ubaguzi na kumwagia watu tindikali. Pili huko kuna tabia za Mombasa ukiinama umekwisha.
 
Mkoa wa dodoma
wilaya ya dodoma mjini
kata ya mnadani
eneo la maili mbili

JIJI LA KITOVU CHA ELIMU TANZANIA

KUNA
1. CHUO CHA UDOM
2. ST.JOHN
3. CHUO MIPANGO
4. CBE
5. CHUO CHA MADINI
6. ASSEKI CHUO CHA BIASHARA
7. VETA KANDA YA KATI
9. CAPITAL CHUO CHA UALIMU
10. CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MAKUTUPORA

KUNA
¡ú BUNGE
¡ú KIWANDA CHA NYAMA CHA TAIFA TMC

KUNA
CHAKO NI CHAKO
MNADA MSALATO
MASTER PUB

LOL
KARIBU DODOMA
HOME OF THE BRAVE
mkuu ongezea na chuo cha hombolo pamoja na chuo cha mafunzo ya usalawa taifa ihumwa
 
Ay yo I'm from DSM man!!!
Representin D.S.M. to the fullest
I pull it, Heads be duckin in dsm be bussin take that....

Hot now top down at the Rucker game
New coup no roof playa what's my name?
Now osterbay, sinza, Mikocheni,mbezi beach what now?! let's make it happen DSM moh'fo ,if you can make it here, you can make it anywhere
We still here!!! And we buildin four more new ppf towers!!!!
 
Kigoma, kwani wakikuchanganya ni rahisi kuukataa uraia wako na kusema u Mrundi/ Au unakuwa na akili kama ya Zitto yaani hauelewekieleweki.
 
Back
Top Bottom