Swali: Mapenzi ni matusi au matusi ni mapenzi?!

Swali: Mapenzi ni matusi au matusi ni mapenzi?!

Wewe endelea tu kudinywa kama mbwa
Nadinywa na mume wangu halali wa ndoa
VP kwan umenuna?
Si Bora me nadinywa wewe hata babako mzazi humjui.. sasa Nani mbwa Kati yangu Mimi na aliekuzaa?
 
Mumeo atakua mvumilivu kwel, inaelekea alivyokua anatafuta mke alikua anaangalia kipengele cha dishwasher tu. anawezaje kuishi na mtu kama wewe daah!
 
Hamna MTU peace.. mwenye akili.. mwenye maendeleo... Jembe ...ninaependa mapenzi... mcheshi....Mkaree... Mwenye upendo kama mimi
Hizi Uzi zisikudatishe ukikutana nami live Kwanza hautanijua kama ndio mimi

Ananipenda Sana...
hajawahi kujua nipo JF akajua Jumamosi ya Pasaka anaingia JF kusoma uzi zangu zote me sina habari akacheeeeka Sana..
Akarudi Kusoma hadithi kwenye website yangu akacheeeeeka akiingia YouTube ndio kabisa ndio Jana baada ya kunitomba ananiambia huko JF punguza utakomaza watoto wa watu
so hapa naenda Aste aste
Unategemea atafanya nini wakati lengo lake kubwa lilikua kutafuta wa kumuoshea vyombo.
 
Unategemea atafanya nini wakati lengo lake kubwa lilikua kutafuta wa kumuoshea vyombo.
Aisee
Kwahiyo wewe unaoa house girl?
Hongera!
Mwenzio ana wajukuu 5 na watoto 3 na ndoa ya Miaka 33 huku Duniani
Sijajua housegirl wako Una Miaka mingap ya ndoa nae? 🤔
 
Aisee
Kwahiyo wewe unaoa house girl?
Hongera!
Mwenzio ana wajukuu 5 na watoto 3 na ndoa ya Miaka 33 huku Duniani
Sijajua housegirl wako Una Miaka mingap ya ndoa nae? [emoji848]
Bibi siku jaribu kugoma kuosha vyombo uone kama hajakugawa,
 
Back
Top Bottom