Swali: Madhehebu ya wakristo

Swali: Madhehebu ya wakristo

Naomba tujihadhari na mihemko naomba kuuliza kuwa kujua tu niko curious.

Naomba wenye kukashifu mkae pembeni, lengo ni kuelimishana tu.

Swali langu ni hili;

Mtu anaweza kuwa mlokole na still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, tunaweza sema mtu anasali kwa Gwajima au TB Joshua but still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, Gwajima yeye binafsi anaweza kuwa Mkatoliki pia au Mlutheri?

Mwislamu -Sunni anaweza Akasali msikiti wa waislamu Shia au Bohora lakini haimfanyi abadili u sunni wake.
 
  • Thanks
Reactions: ram
d
Kuingia kwenye ibada za hayo makanisa inawezekana ni fashion ya siasa na kampeni za mwaka huu. Wana siasa ni balaa...Mfano Slaa anamtaja Mungu kuliko mimi na wewe tunavyoweza kumtaja. I hope anamaanisha anachosema
Kumtaja Mungu sana hakuna faida yoyote kama Matendo yako hayampendezi. Na ndio maana unaambiwa Usilitaje bure jina lq Mungu wako. Lakini tunapata kukombolewa kwa neema, Slaa aamue kwa dhati kuwa anataka kukombolewa na aachane na michanganyo isiyo ya ki-Mungu
 
Mkuu na wote humu ndani naomba tufahamu kwamba hayo ni madhehebu tu ambayo yamewekwa na wanadamu katika kumkaribia Mungu. ukiangalia chimbuko lake ni kutokuelewana katika baadhi ya mambo hasa yahusuyo Biblia. kuna wanaodhani watu wanafundishwa tofauti na biblia wakakimbilia mahali pengine na kuna waliodhani mafundisho na yatendwayo na hao wafundishao yalikuwa tofauti nao wakakimbilia mahali pengine. na hii imeendelea hata sasa. baada ya hapo ile spirit of association huanza kuibuka na ndipo huundwa vyombo vinavyounganisha madhehebu kadhaa na kuzaliwa kitu kingine kama pentekoste, CCT, na kadhalika.
kwamba Mtu wa huku ama kule anaweza kwenda upande mwingine inategemea unaangalia nini. mfano ni kweli kwamba kwenye makanisa yote doors are open kuingia na kutoka lakini kitakachokufanya usiingie ama usitoke ni unachofundishwa huko. ndio maana kumekuwa na msisitizo wa kusoma kuliko kuacha mtu akusomee af aje akwambie hapa inamanisha hivi ama vile.
Kuna mapokeo lakini ambayo yanaweza kuzuia mut asivuke upande mmoja kwenda mwingine; mfano umeambiwa RC anaweza kusali popote ilimradi asishiriki sakramenti. kuna baadhi ya madhehebu pia mtu akihamia kutoka mahali pengine humbatiza tena lakini sio yote.
cha msingi ni imani yako kwa Mungu. kumbuka huwezi kutaja ukristo bila kutaja Yesu Kristo. so inategemea wewe umekaaje na Huyu Kristo, unamfahamu kama nani na ana nafasi gani kwako. issue ya kuwaona wengine bora kuliko wewe (kujisabia haki) hiyo imekuwa gumzo la muda mrefu. kipimo cha wewe kuwa mkamilifu au la kiwe Yesu Kristo
 
Walokole wako harsh sana wale....yaan gambe kwao dhambi??!! Kitimoto akipandi,msalaba hawataki,sanamu la bikura Maria wala yesu wao no.......sasa ndo ukristo gan huo...??!
Biblia inasemaje kuhusu hayo uliyoorodhesha?
 
Naomba tujihadhari na mihemko naomba kuuliza kuwa kujua tu niko curious.

Naomba wenye kukashifu mkae pembeni, lengo ni kuelimishana tu.

Swali langu ni hili;

Mtu anaweza kuwa mlokole na still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, tunaweza sema mtu anasali kwa Gwajima au TB Joshua but still Mkatoliki au Mlutheri?

Je, Gwajima yeye binafsi anaweza kuwa Mkatoliki pia au Mlutheri?

Mie kwenda kusali kwa Mzee wa upako hakuondoi ulutheri au ukatoliki nilionao
Watumishi wa Mungu wanapishana katika karama tofauti tofauti, hayo mambo tofauti tofauti ndio waumini wanayafuata lakini mwisho wa siku wengine wanarudi kwenye madhehebu yao ya kawaida
 
Walokole wako harsh sana wale....yaan gambe kwao dhambi??!! Kitimoto akipandi,msalaba hawataki,sanamu la bikura Maria wala yesu wao no.......sasa ndo ukristo gan huo...??!
Nakupa pole ndugu yangu! Hivi ni mbingu gani ya masanamu?kutoka 20:1...mimi ni Bwana Mungu wako usijifanyie sanamu ya kitu chochote mfano wa vitu vilivyoko mbinguni wala duniani na kuviabudu.Hivyo chuki zenu kwa wapentekoste ni za kila siku maana hhamfanani nao.Ukristo na ulevi,matusi,sanamu n.k si ukristo maana Yesu hakufanya hayo.
 
Back
Top Bottom