Swali lililojiri katika kinyan'ganyiro cha Afisa Tarafa

Swali lililojiri katika kinyan'ganyiro cha Afisa Tarafa

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
Wanajamvi sio vibaya nikiwashrikisha swali lilikuwa unaelewa nini kuhusu Big result treory iliyotolewa na govervment? unafiri imefanikiwa kama ndio kivipi au kama no kivipi. Ni hilo jamani kila mtu aliweka majibu yake hapo tuombeane.
 
kitu swal c gumu ila kutokutegemea mana hapana mtu aliyesema amepitia ile mada limeibuka tu mkuu
 
kitu swal c gumu ila kutokutegemea mana hapana mtu aliyesema amepitia ile mada limeibuka tu mkuu

Wasomi waTz mnasikitisha sana..Unataka ukapewe tarafa uongoze na haujui chochote kuhusu BRN?
 
me nadhan hamjanielewa me nlmansha swal c gumu big result inajulikana lakini kitu mtu unasoma vingine the unakutana na jambo dogo tu c mmepitia mambo ya mthan mnajua nn namaanisha.
 
Watu jana wamemeza types of pasport, kwenda taifa thubutuu, hakuna cha pasport wala visa
 
hili swali halikua gumu hlf nahs watu wengi wameeleza vzr., kaz kwao utumishi kuita watu kweny oral., proud to be z one
 
me nadhan hamjanielewa me nlmansha swal c gumu big result inajulikana lakini kitu mtu unasoma vingine the unakutana na jambo dogo tu c mmepitia mambo ya mthan mnajua nn namaanisha.

Mkuu unaandika mambo gani haya aisee?

huko nako uliandika hivi au unafanya makusudi?
 
siku hizi mwandiko na uumbaji wa maneno havifundishwi tena , eti?
 
mimi pia niliitwa kwenye post ya afisa tarafa bt nimeshindwa nlishindwa kufika cz sikuwa na nauli nipo musoma mara! jamani kwanini utumishi wasiwe na ofisi kila mkoa au zone
 
mimi pia niliitwa kwenye post ya afisa tarafa bt nimeshindwa nlishindwa kufika cz sikuwa na nauli nipo musoma mara! jamani kwanini utumishi wasiwe na ofisi kila mkoa au zone
Ungepoteza pesa yako bure
 
Duu swali lile,kwa wale wafatiliaji waliandika vzr sana lilkuw c gumu.
 
Back
Top Bottom