Haya ndio maajabu ya wadanganyika.Vibaka wanapata adhabu ya hapo hapo hata mashitaka hawasomewi.
Fisadis, tunawaita waheshimiwa na "mzee"...hata Polisi wanafanya uchunguzi ambao haukamiliki kwa miaka, mpaka wadanganyika tunasahau au anatokea mkuu wa TAKUKURU anawasafisha.
Wale wa EPA walitufanyia usanii , walitwambia wanawapa muda warudishe "vijisenti"/fedha walizokwapua BoT.
Only in Tanzania.