Swali Langu La Kufunga Mwaka Kwa Wana JF...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali Langu La Kufunga Mwaka Kwa Wana JF......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by maggid, Dec 31, 2010.

 1. m

  maggid Verified User

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Je, Uhuru = Hakuna Upinzani? Jibu NDIYO/HAPANA( Fikiri kwa bidii, jibu na jadili, ukipenda)


  HERI YA MWAKA MPYA!

  Maggid
  Iringa.
   
 2. Licence to Kill

  Licence to Kill Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Soma kutoka kushoto kuelekea kulia utamwelewa/utamsoma.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Mkuu uhuru ni uhuru tu, hautakiwi kuwa na upinzani-theoretically, ila unapaswa kuwa na upinzani practically!

  Upinzani ni relative term, kwa mfano tunapoona watu wanavunja sheria, rushwa n.k kutakuwa na upinzani kwa wale waliosafi au kwa mamlaka zilizowekwa. mwizi anaona ni uhuru kuiba na ni haki yake, sheria inapinga kuiba na itampinga huyu mwizi.

  Uhuru wa kwa maana una huru haupaswi kuvunja sheria! kwa mfano uhuru aliokuwa nao rais wa nchi hii hata yeyote ajaye ni mkubwa mno kiasi cha kuwa anaweza akajisahau na inapaswa apingwe.Kujisahau huku ni ubinadamu ambapo hata akiwa padre anaweza kuuvunja tu!

  Ili mwanadamu awe huru kikwelikweli lazima kuwe na sheria za kumzuia kupitiliza (upinzani)!!! maana mashoga, malesbian wote wanataka uhuru!!

  Mkapa aliiba kwa sababu alikuwa huru! we need strong laws/regulations to prevent this.

  Uhuru=hakuna upinzani??, HAPANA kwa binadamu lazima awe na upinzani hata katika uhuru wake, lazima apingwe ili afurahie uhuru wake, lazima awekewe mipaka, this is how we are

  nawasilisha!
   
 4. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Waberoya,
  Umeelezea vizuri sana, na hilo hapo juu ndi jibu sahihi. Sijaelewa kwa nini muuliza swali anataka jibu la NDIYO/HAPANA na jibu la namna hii mtu hawezi kuelewa uhuru/upinzani ni nini na nini ni uhuru/upinzani
   
 5. k

  kibenya JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  hapana
   
 6. m

  maggid Verified User

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Waberoya,

  Hukufungwa, kuna nafasi ya kujadili NDIYO au Hapana ya jibu lako.
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ndiyo au hapana haiwezi kujadiliwa. Inatajwa, insemwa.
   
 8. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  no answer
   
 9. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa salaam ya mwaka mpya. Uhuru ni sawasawa na Upinzani. Upinzani ni hali ya kuwa na mawazo tofauti/mbadala na mwingine. Kwa hiyo jibu ni HAPANA
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Maggid... jibu ni hapana
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  kwa nini uliuliza? we need your input buddy!
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  SWALI Je, Uhuru = Hakuna Upinzani? Jibu HAPANA
  Tulipodai Uhuru mika ya 50'na 60' TANU kilikuwa Chama cha upinzani km vingine dhidi ya mwingereza
  ni popote bw Maggid ha mpira simba na Yanga, Man v/s Arsenal, Twanga v/s Akudo CCM v/s CUF, Lyatonga v/s Meela Daud v/s Goliath
  bila upinzani hakuna maendeleo na kila uovu utafichwa na mwisho ni vita Watusi na Wahutu, Ujerumani na Urusi HERI YA MWAKA MPYA 2011 sijamsikia Sheikh wangu wa Utabiri mwaka huu vipi? mshtueni
   
 13. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndio au Hapana? Hakuna jibu sahihi
   
Loading...