Swali langu kwako muheshimiwa mbunge felister bura


C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,788
Likes
1,361
Points
280
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,788 1,361 280

MUHESHIMIWA MBUNGE
NDUGU FELISTER BURA LEO NIKO HAPA KUKUULIZA MASWALI MAWILI MATATU TU NDUGU YANGU,KWAKUWA SINA NAFASI YA KUONANA NA WEWE, KWA KUWA HUWA UNAPITA TU KWA MBALI KWENYE GARI LAKO LA NGUVU NAKUONA KWA MBALI

LEO HII NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUKUULIZA MPAKA SASA HIVI UMESHAFANYA KAZI GANI BUNGENI MUHESHIMIWA?

SAWA TUNAJUA NI VITI MAALUMU HEBU LEO TUKAE KITAKO KIDOGO HAPA JF HALAFU TUONGEE MAMBO MOJA MBILI TATU AMBAYO UMEYAFANYA

KWANI NINA AMINI UNA MENGI MAZURI AMBAYO UMEYAFANYA NA UNGEPENDA JAMII ITAMBUE MIE PIA NINGEPENDA NIJUE


NAKUSUBIRI MUHESHIMIWA
 

Forum statistics

Threads 1,251,864
Members 481,917
Posts 29,788,225