1. Serikali za majimbo, kila jimbo likusanye pesa zake lifanye maendeleo yake.Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...
So swali langu ni hili:
Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?
Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
Obama alishasema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions."
Hivi vyeo kwa sasa vimekaa kisiasa zaidi kuliko kimaendeleo, na ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Kazi zote wanazofanya zinaweza kufanywa vizuri tu na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Lakini pia Kuwe na mfumo wa kisheria unaoruhusu wananchi kupiga kura ya kuwaondoa wabunge au viongozi kabla ya miaka mitano kuisha kama hawatekelezi ahadi zao. Hii itawafanya viongozi wawe accountable masaa 24, na sio kusubiri mpaka uchaguzi mkuu ukaribie ndio waanze kujipendekeza tena.
Katiba mpya kwanza ambayo hata hao ccm watashika dola kwa njia sahihi sio hizi za uchochoroni ndio maana hawaoni haja ya kuwajibika kwa wananchi waoNimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...
So swali langu ni hili:
Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?
Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...

Mimi ningebadilisha mambo matatu:Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...
So swali langu ni hili:
Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?
Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
Lissu kwenye speech yake moja alizungumzia kuhusu katiba bora + strong institutions, akatoa mfano hata yeye akiwa Rais akakengeuka ni katiba inapaswa kumuwajibisha.
Swali kwako mleta mada , sasa hivi Samia anavyomis behave wewe kama mwananchi unaweza kumfanya nini?
Wakenya wakisema tukutane mahakamani huwa unaelewa nini?
Sahihi kabisa, pamoja na hilo kunapaswa kuwa kuwa na taasisi ya kuiweka hiyo taasisi ya urais kwenye check and balance, Ambapo ideally ni bunge…. lakini practically kwa hapa kwetu tunafahamu kuwa wabunge wanapatikanaje…. Wabunge wote wa chama dola kuna mkono/hisani ya mwenyekiti wao wa chama ambaye ndiye Rais kwa kofia nyingine.Shida kubwa Urais ni taasisi inayoendeshwa na watu wengi...
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...
So swali langu ni hili:
Kama ungepewa nafasi ya kubadilisha mambo matatu tu katika mfumo wa siasa na utawala wa Tanzania, ungebadilisha nini, na kwa nini?
Hoja zijengwe kwa hoja. Tusitukanane kwa sababu ya mitazamo tofauti.
Obama alishasema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions."
Hivi vyeo kwa sasa vimekaa kisiasa zaidi kuliko kimaendeleo, na ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Kazi zote wanazofanya zinaweza kufanywa vizuri tu na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Lakini pia Kuwe na mfumo wa kisheria unaoruhusu wananchi kupiga kura ya kuwaondoa wabunge au viongozi kabla ya miaka mitano kuisha kama hawatekelezi ahadi zao. Hii itawafanya viongozi wawe accountable masaa 24, na sio kusubiri mpaka uchaguzi mkuu ukaribie ndio waanze kujipendekeza tena.
Lissu kwenye speech yake moja alizungumzia kuhusu katiba bora + strong institutions, akatoa mfano hata yeye akiwa Rais akakengeuka ni katiba inapaswa kumuwajibisha.
Swali kwako mleta mada , sasa hivi Samia anavyomis behave wewe kama mwananchi unaweza kumfanya nini?
Wakenya wakisema tukutane mahakamani huwa unaelewa nini?
Sahihi kabisa, pamoja na hilo kunapaswa kuwa kuwa na taasisi ya kuiweka hiyo taasisi ya urais kwenye check and balance, Ambapo ideally ni bunge…. lakini practically kwa hapa kwetu tunafahamu kuwa wabunge wanapatikanaje…. Wabunge wote wa chama dola kuna mkono/hisani ya mwenyekiti wao wa chama ambaye ndiye Rais kwa kofia nyingine.
Katiba yetu ni spider web, mbovu kweli kweli.
Matatizo yetu walau kwa 70% yanasababishwa na ubovu wa uongozi.