Swali langu kuhusu CCTV zinazotengemzwa china usalama wetu kama taifa upoje?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,595
8,729
Tanzania tumekuwa wanunuzi wakubwa wa vifaa kutoka china ila jambo lilonipa maulizo kuhusu hizi CCTV za china ambazo mfumo wake kama unaunganisha na internet je mamlaka zimeshawai kuchunguza vifaa hivi.

China inatajwa kuwa taifa linaloingilia faragha za watu sana kwenye mifumo ya cctv nchini kwao.

Je, hapa kwetu wataalmu mmeweza kuligundua ili maana zimejaa kwenye idara zote na zikiwa link kwenye data.

Tumeshawai jiuliza
******

The United States has banned the import or sale of Chinese telecoms and video surveillance products from Chinese suppliers Huawei, ZTE, Hytera Communications, Hikvision, and Dahua.

The Federal Communications Commission (FCC) has officially implemented the provisions of the Secure Equipment Act, signed into law last year and aimed at prohibiting communications equipment deemed to pose an unacceptable risk to national security.

"While we’ve flagged equipment as posing a national security risk, prohibited companies from using federal funds to purchase them, and even stood up programs to replace them, for the last several years the FCC has continued to put its stamp of approval on this equipment through its equipment authorization process," explains FCC chair Jessica Rosenworcel.
 
Waulize pia security system za ikuulu dodoma wametoa wapi? kama wamenunua basu ikifikia muda tunaweza tengeneza za kwetu basi ikulu ijengwe upya
 
Marekani alipata kabisa kashfa ya kudukua hadi viongozi wa dunia hii, lakini bado mnaendelea kununua vifaa vyake na kutumia huduma zake. Hata kama Uchina anakudukua unadhani unaweza kumzuia asifanye hivyo ilhali karibia kila teknolojia mnanunua kutoka kwao ???
 
Tanzania tumekuwa wanunuzi wakubwa wa vifaa kutoka china ila jambo lilonipa maulizo kuhusu hizi CCTV za china ambazo mfumo wake kama unaunganisha na internet je mamlaka zimeshawai kuchunguza vifaa hivi.

China inatajwa kuwa taifa linaloingilia faragha za watu sana kwenye mifumo ya cctv nchini kwao.

Je hapa kwetu !. wataalmu mmeweza kuligundua ili maana zimejaa kwenye idara zote na zikiwa link kwenye data.

Tumeshawai jiuliza
******

The United States has banned the import or sale of Chinese telecoms and video surveillance products from Chinese suppliers Huawei, ZTE, Hytera Communications, Hikvision, and Dahua.

The Federal Communications Commission (FCC) has officially implemented the provisions of the Secure Equipment Act, signed into law last year and aimed at prohibiting communications equipment deemed to pose an unacceptable risk to national security.

"While we’ve flagged equipment as posing a national security risk, prohibited companies from using federal funds to purchase them, and even stood up programs to replace them, for the last several years the FCC has continued to put its stamp of approval on this equipment through its equipment authorization process," explains FCC chair Jessica Rosenworcel.
Kwa Mtogole kuna nini cha maana kwa Mchina zaidi au kama Newyork?
 
Kuna Uwanja Ngerengere umejengwa kwa msaada wa China. Pale hakuna kitu MI ya Tz itafanya China isijue
 
Mkongo wa taifa made by China, Data Center made in China, Jengo la Bunge ,jengo la CCM made in China. Nyerere Dam made in China
 
Back
Top Bottom