Ni muda tu mfupi uliopita hapa "kijiweni" zimepita gari mbili zimepambwa huku honi zikipigwa nikajiuliza ni kitu gani hiki ndo jamaa yangu akaniambia ni harusi hiyo
'
Nikashangaa kisha nikajiuliza maswali
'
Hivi watu wakioana ni lazima wapite barabarani wakipiga makelele?
'
Ni kitu gani kinawafa watu wapige makelele kwenye misafara ya harusi?
'
Kuna mabilioni ya watu walishafunga ndoa sasa cha ajabu nini
'
Hivi kuoana ni jambo la ajabu kiasi hiki?
kama hujaolewa, siku ukiolewa utajua jinsi gani furaha unayokuwa nayo.unaweza kufanya kitu cha ajab mpaka ukashaanga siku ukionesha video ya harusi yako..,Furaha gani?Cha ajabu kipi mpaka upige makelele barabarani?
Ni mbwembwe tu hizo mkuu za mafuraah na mshawasha! Na ndo maana kuna tofauti kati ya harusi na msiba! Aririririririririiiiii! Dada huyooo! Anaolewa!..
Na ipi tofauti kati ya wehu na wenye akili timam?Kati ya mwehu na mwenye utimam wa akili ni yupi mwenye sifaya kupiga kelele?
Ulishawahi kufika mahali pana ONYO la kutokukaa kimya?Ni kipi kinachokera kati ya kelele na ukimya?[/QUOTE
inategemea na mahali na wakati. kelele zaweza kuwa nzuri au mbaya! kimya chaweza kuwa kizuri au kibaya! wewe umeoa au umeolewa? vipi harusi yako ikawa kimya toka church hadi ukumbini? utajisikiaje? au wasemea kelele za barabarani ila za ukumbini hazina shida?